Shetani alikuwa malaika wa sifa mbinguni yaani mkuu wa music.
Mungu utoa vipawa kwa wote ukija duniani tayari Pana program au mission inatakiwa uikamilishe walimu wa nyota wanaijua hii.
So shetani kwa sababu ndie mkuu wa dunia hii kwa wasio na Mungu yeye uvitumia hivyo vipawa umtukuze yeye thus 90% ya music ni kumtukuza shetani kuanzia nyimbo mavazi nk ushahidi check nyimbo hizo nyingi ni ibada kamili