Anajuta kuwa mtoto wa waziri!

Anajuta kuwa mtoto wa waziri!

Wana Jami forum naomba ni wasalimu wote kwa heshima zote. Leo nakuja na story ya kweli ya mtoto wa waziri maarufu kwenye awamu ya nne.

Huyu kijana ambaye Sasa ni mtu mzima . Nimekutana naye ugaibuni kwenye jiji maarufu, NY. Huyu baba Nimekutana naye kwenye Hari ya kusikitisha. Mimi huwa ni mtu ambaye Sina marigo huwa na ongea na watu wa kila Aina.

Hasa huwa na napenda kusalimia watu waliopo kwenye Hari ya chini kabisa kimaisha kama homeless. Sasa Leo nikiwa natarii kidogo kwenye jiji la New York wakati nikiwa natafuta hiki na kile kwaajiri ya safari yangu ya kurudi Nyumbani. Ni kaona mahomeless wame kaa kwenye kijiwe Chao karibu na times Square.

Mimi nikajisikia mayoni nataka kufanya kitu chema kwa mtu yoyote. Basi nikasogea pale mahomeless waliopo kuwa wamekaa. Nikaanza kuwa salimimia kwa kingeleza. Mara tu baada ya kusalimia kama watatu Kuna mmoja akaja kuongea na mimi. Akanisalimia. " what's up man." what's up brethren. "NOTHING MUCH" can you spare me some changes brother?

Nikamuuliza unataka cheji za nini. Akanijibu nataka nikusanye kusanye cheji nikanunuwe sandwich. Maana sijala tang Jana. Nikamwabia basi kama ni hivyo twende wote pale kwenye mgahawa nikununulie chakula tule wote. Nilifanya hivyo kwasababu najuwa mahomeless wengi wa naomba hela ya kula lakini wakipata hela wanakwenda kununuwa madawa ya kulevya.

Hivyo zamila yangu iliniambia nikimpa hela akaenda kununuwa madawa ya kulevya nitakuwa nimeshiriki kumharibia maisha. Basi akakubari kufuwatana na mimi kuelekea kwenye mgahawa. Sasa wakati tunatembea akaazisha maongeze kwa kuniuliza ninako tokea. Nikamwabia mimi natokea Tanzania. Basi akashituka. Tanzania! Yes Tanzania. Oh men, I got story to tell you.

Mimi ni kasema really? Akaanza kuongea kwa kiswahili kumbe wewe ni mtanzania mwezangu. Nikamjibu ndio. Basi tukawa tumefika kwenye mgawa tukaaa, na nikamwambia aagize chochote a nacho taka nitalipa. Basi akaagiza sandwich ya nyama ya kuku na chips na sada. Name nikaangiza soup ya maharage. Inatwa "chill soup" basi tukaanza kula huku tunaongea kwa kiswahili. Basi akaniambia kuwa baba yake alikuwa waziri maarufu Tanzania kwa mda mrefu Jina (kampuni).

Akanielezea history ya maisha yake yote. Na akaniambia nikifika nyumbani nisiseme Hali yake. Akaniambia alipofika kimaisha, Alisha kata Tamaa ya maisha ila angependa story yake iwekwe wazi ili iwe fundisho kwa wengine. Kwa ufupi akaniambia maisha ya utoto wake yalikuwa ya anasa Sana kwani baba Yao alikuwa ni waziri na alikuwa anaiba hela nyingi zauma kiasi kwamba nyumbani kwao waliona pesa kama makaratasi. Na hakuwahi kujuwa kuwa ipo siku atakuja kuwa omba omba. Kwenye nchi za wengine.

Kaka nakwambia tulidekeshwa Sana. Kusoma tulisomeshwa kwenye shule za kifahari. Naturiamini maisha yataendelea kuwa Mazuri. Tukiona watu masikini tulikuwa tunafikiri wamejitakia wenyewe. kwasababu kwetu hela zilikuwa Zina patikana wakati wowote tukizihitaji. Pamoja na baba kuwa na hela nyingi siku wahi kujuwa kwa nini alikuwa na hela nyingi kwani sikumuona akifanya biashara yoyote.

Kitu nilichoona kwenye utoto wangu ni kuona baba akichukuliwa na Gari na kurudi na Gari Nyumbani. Nyumbani tulikuwa na Madreva watatu mmoja wa kuendesha Watoto kuwapereka shuleni. Na mwingine wa mama na mwingine wa kuendesha baba kwenda kazini na kurudi.

Nilivyo kuja Marekani kusoma baba alikuwa ananilipia kila kitu. Nilikuwa naishi kwenye apartment ya kifahari. Ambayo baba alikuwa ananilipia kodi. Nilisoma nikamaliza shule vizuri. Ni kapata kazi kwenye kampuni nzuri, na nilikuwa na lipwa mshahara mzuri Sana. Kwasababu baba alikuwa bado anahela nyingi aliendelea kunilipia rent. Hivyo bado nikaendelea kuishi kama mtoto wa waziri. Mambo yalikuja kubadilika kwenye awamu ya tano hela kutoka nyumbani zikawa zimekoma ghafla. Maisha yakaanza kuniwia magumu. Mke wangu wa kizungu niliye kuwa nimeowana naye kwa miaka kumi tatu. akaanza ukorofi. Badaye tukatengana. Mimi ikabidi nitoke kwenye nyumba tuliyo kuwa tunaishi. Mwanamke akanipereka mahakamani kudaiwa matuzo ya Watoto. Mtoto wa waziri nikaaza KUJIFUZA kuishi kwa shida ukubwani. Nikapatwa na msongo wa mawazo nikaanza kuwa mlevi. Badaye nikashindwa kulipa matuzo ya Watoto nikakamatwa na kuweka JELA miezi mitatu. Nilivyo toka JELA nikawa nimepoteza kazi nikaaza kuwa homeless. Lakini haya yote yamenipata kwasababu ya malenzi mabaya ya kuwa mtoto wa waziri. Kama baba yangu asinge kuwa waziri akaendelea na kazi yake ya uhasibu huwenda angetulea vizuri na tungejuwa ugumu wa maisha tukiwa bado wadogo. Chaga moto zimenikuta uzeeni, kuzikabili siwezi. Mzee akaanza kulia huku akitetemeka. Watu pembeni yetu wa kasema huyo anahitaji vodica. Sisi tuna juwa akikaa bila pombe anakuwa kama anataka kufa. Maongeze yetu yakaishia hapo. wenye mgahawa wakaita police. Jamaa wakaja kumchukuwa na Gari la wagojwa. Police wakaniuliza kama nilikuwa naye mimi nikawambia njisi tulivyo kutana wakachukuwa maelezo yangu. Na mimi nikawa uliza wanampereka wapi? Wakaniambia wanampereka kwenye hospital iliyo karibu na hapa. Kesho yake nikaenda kumjulia Hali hospital . Nitaendelea kuongea naye. Itaendelea....
Wewe umeuhakikishia ulimwengu wa JF kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
 
Kaka za nyuuyoku,, ukirudi uniletee hata dundo ndugu yako,, hayo mengine atajua mwenyewe huyo mtoto wa ex waziri, kwanza kashakula sana gudi taimu,,
 
Tatizo lake kubwa ni R na L. Makosa mengine ni dictionary ya simu yake inabadili maneno na kumuharibia anacho andika.
Hovi inakuaje tatizo dogo kama hili la R& L mtu anaenda nalo hadi elimu za juu? Au elimu yetu ni zoa zoa?
 
Anatupiga fix huyo.
 
Taja jina la mtoto aliosoma kwa kodi za wasio soma na sasa anaisoma ...... tunaomba Jina la mzazi tujuwe tunacheka au tunalia hapo ndo tutaanza kujifunza [emoji854] kitu
 
Hovi inakuaje tatizo dogo kama hili la R& L mtu anaenda nalo hadi elimu za juu? Au elimu yetu ni zoa zoa?
Kuna Kundi la kwanza walio athiriwa na lugha zao za asili.

Kundi la pili ni generation Z wahanga wa waalimu wa kozi ya miezi sita walio zalishwa wakati wa Kikwete maarufu kama 'waalimu wa vodafasta'.

Kundi la tatu ni kuanzia millennials hadi generation Z ambao walisoma shule za english medium schools ambao shuleni na nyumbani hawakuwekewa mkazo kujifunza na kukitumia vizuri kiswahili. Akina Junior wale.

Vurugu zinazo letwa na mawaziri wa ovyo wizara ya elimu madhara yake yanaonekana baada ya muda kidogo huku wahusika hawapo madarakani kuwajibishwa.

Kikwete aliweka watu wa ovyo sana kwenye baadhi ya wizara. Hii yote sababu ya kulipana fadhila mambo ya wana mtandao.
 
Kuna Kundi la kwanza walio athiriwa na lugha zao za asili.

Kundi la pili ni generation Z wahanga wa waalimu wa kozi ya miezi sita walio zalishwa wakati wa Kikwete maarufu kama 'waalimu wa vodafasta'.

Kundi la tatu ni kuanzia millennials hadi generation Z ambao walisoma shule za english medium schools ambao shuleni na nyumbani hawakuwekewa mkazo kujifunza na kuitumia vizuri kiswahili. Akiba Junior wale.

Vurugu zinazo letwa na mawaziri wa ovyo wizara ya elimu madhara yake yanaonekana baada ya muda kidogohuku wahusika hawapo madarakani kuwajibishwa.

Kikwete aliweka watu wa ovyo sana kwenye baadhi ya wizara. Hii yote sababu ya kulipana fadhila mambo ya wana mtandao.
Nakubaliana nawe kwa kila hoja. uliyoleta ,lakini swala la R&L ni la kisarufi na ndio msingi wa kwanza kabisa katika mhilili wa kusoma na kuandika ! Sasa kama mtu hana huo msingi ,huko elimu za juu anaenda kusomna au kuelewa nini?
 
Nakubaliana nawe kwa kila hoja. Uliyoleta lakini swala la R&L ni la kisarufi ndio msingi wa kwaza kabisa katika mhilili wa kusoma na kuandika ! Sass kama mtu hana huo msingi huko elimu za juu anaenda kusomna au kuelewa nini?
Mitihani mkubwa.
Hali mbaya sana huku mitaani.
Utasikia 'nyimbo hii'
Mara unasikia 'lisaa limoja'
 
Hujaelewa au umekurupuka as usual ya JF na kizazi cha 1990's to 2000's. Soma vizuri wametambulishana wakiwa wawili japo story hii ni chai ukiangalia anavyoiandika.
Loh, sasa wewe sijui unataka kusema kitu gani hapa. Kwamba ni muelewa mzuri wa unachokisoma? Mbona hii habari ndogo tu niliyo andika mimi tayari inakupa shida kuielewa?
 
Jamaa kaeleweka sana mlitaka Atype kichina Acheni ukosoaji wa kishamba

Itoshe kusema jamaa anaujumbe mzuri sana NY homeless wengi sana life Yao inategemea unga Tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana Jami forums naomba ni wasalimu wote kwa heshima zote. Leo nakuja na story ya kweli ya mtoto wa waziri maarufu kwenye awamu ya nne.

Huyu kijana ambaye Sasa ni mtu mzima. Nimekutana naye ugaibuni kwenye jiji maarufu, NY. Huyu baba Nimekutana naye kwenye Hari ya kusikitisha. Mimi huwa ni mtu ambaye Sina marigo huwa na ongea na watu wa kila Aina.

Hasa huwa na napenda kusalimia watu waliopo kwenye Hari ya chini kabisa kimaisha kama homeless. Sasa Leo nikiwa natarii kidogo kwenye jiji la New York wakati nikiwa natafuta hiki na kile kwaajiri ya safari yangu ya kurudi Nyumbani. Ni kaona mahomeless wamekaa kwenye kijiwe Chao karibu na times Square.

Mimi nikajisikia moyoni nataka kufanya kitu chema kwa mtu yoyote. Basi nikasogea pale mahomeless waliopo kuwa wamekaa. Nikaanza kuwa salimimia kwa kingereza. Mara tu baada ya kusalimia kama watatu Kuna mmoja akaja kuongea na mimi. Akanisalimia. " what's up man." what's up brethren. "NOTHING MUCH" can you spare me some changes brother?

Nikamuuliza unataka cheji za nini. Akanijibu nataka nikusanye kusanye cheji nikanunuwe sandwich. Maana sijala tangu Jana. Nikamwambia basi kama ni hivyo twende wote pale kwenye mgahawa nikununulie chakula tule wote. Nilifanya hivyo kwasababu najuwa mahomeless wengi wa naomba hela ya kula lakini wakipata hela wanakwenda kununuwa madawa ya kulevya.

Hivyo dhamira yangu iliniambia nikimpa hela akaenda kununuwa madawa ya kulevya nitakuwa nimeshiriki kumharibia maisha. Basi akakubari kufuwatana na mimi kuelekea kwenye mgahawa. Sasa wakati tunatembea akaazisha maongeze kwa kuniuliza ninako tokea. Nikamwabia mimi natokea Tanzania. Basi akashituka. Tanzania! Yes Tanzania. Oh men, I got story to tell you.

Mimi ni kasema really? Akaanza kuongea kwa kiswahili kumbe wewe ni mtanzania mwezangu. Nikamjibu ndio. Basi tukawa tumefika kwenye mgawa tukaaa, na nikamwambia aagize chochote anacho taka nitalipa. Basi akaagiza sandwich ya nyama ya kuku na chips na soda. Nami nikaangiza soup ya maharage. Inatwa "chill soup" basi tukaanza kula huku tunaongea kwa kiswahili. Basi akaniambia kuwa baba yake alikuwa waziri maarufu Tanzania kwa mda mrefu Jina (kampuni).

Akanielezea history ya maisha yake yote. Na akaniambia nikifika nyumbani nisiseme Hali yake. Akaniambia alipofika kimaisha, Alishakata Tamaa ya maisha ila angependa story yake iwekwe wazi ili iwe fundisho kwa wengine. Kwa ufupi akaniambia maisha ya utoto wake yalikuwa ya anasa Sana kwani baba Yao alikuwa ni waziri na alikuwa anaiba hela nyingi zauma kiasi kwamba nyumbani kwao waliona pesa kama makaratasi. Na hakuwahi kujuwa kuwa ipo siku atakuja kuwa omba omba. Kwenye nchi za wengine.

Kaka nakwambia tulidekeshwa Sana. Kusoma tulisomeshwa kwenye shule za kifahari. Natuliamini maisha yataendelea kuwa Mazuri. Tukiona watu masikini tulikuwa tunafikiri wamejitakia wenyewe. Kwasababu kwetu hela zilikuwa Zina patikana wakati wowote tukizihitaji. Pamoja na baba kuwa na hela nyingi sikuwahi kujuwa kwanini alikuwa na hela nyingi kwani sikumuona akifanya biashara yoyote.

Kitu nilichoona kwenye utoto wangu ni kuona baba akichukuliwa na Gari na kurudi na Gari Nyumbani. Nyumbani tulikuwa na Madreva watatu mmoja wa kuendesha Watoto kuwapeleka shuleni. Na mwingine wa mama na mwingine wa kuendesha baba kwenda kazini na kurudi.

Nilivyo kuja Marekani kusoma baba alikuwa ananilipia kila kitu. Nilikuwa naishi kwenye apartment ya kifahari. Ambayo baba alikuwa ananilipia kodi. Nilisoma nikamaliza shule vizuri. Nikapata kazi kwenye kampuni nzuri, na nilikuwa nalipwa mshahara mzuri Sana. Kwasababu baba alikuwa bado anahela nyingi aliendelea kunilipia rent. Hivyo bado nikaendelea kuishi kama mtoto wa waziri. Mambo yalikuja kubadilika kwenye awamu ya tano hela kutoka nyumbani zikawa zimekoma ghafla. Maisha yakaanza kuniwia magumu. Mke wangu wa kizungu niliye kuwa nimeowana naye kwa miaka kumi na tatu akaanza ukorofi. Badaye tukatengana. Mimi ikabidi nitoke kwenye nyumba tuliyo kuwa tunaishi. Mwanamke akanipeleka mahakamani kudaiwa matunzo ya Watoto. Mtoto wa waziri nikaaza KUJIFUNZA kuishi kwa shida ukubwani. Nikapatwa na msongo wa mawazo nikaanza kuwa mlevi. Badaye nikashindwa kulipa matunzo ya Watoto nikakamatwa na kuweka JELA miezi mitatu.

Nilivyo toka JELA nikawa nimepoteza kazi nikaaza kuwa homeless. Lakini haya yote yamenipata kwasababu ya malezi mabaya ya kuwa mtoto wa waziri. Kama baba yangu asinge kuwa waziri akaendelea na kazi yake ya uhasibu huwenda angetulea vizuri na tungejuwa ugumu wa maisha tukiwa bado wadogo. Changamoto zimenikuta uzeeni, kuzikabili siwezi. Mzee akaanza kulia huku akitetemeka. Watu pembeni yetu wakasema huyo anahitaji vodka. Sisi tuna juwa akikaa bila pombe anakuwa kama anataka kufa. Maongeze yetu yakaishia hapo. wenye mgahawa wakaita police. Jamaa wakaja kumchukuwa na Gari la wagojwa. Police wakaniuliza kama nilikuwa naye mimi nikawambia jinsi tulivyo kutana wakachukuwa maelezo yangu. Na mimi nikawa uliza wanampeleka wapi? Wakaniambia wanampeleka kwenye hospital iliyo karibu na hapa. Kesho yake nikaenda kumjulia Hali hospital . Nitaendelea kuongea naye. Itaendelea....
Mkuu amka kushakucha, utajinyea buree.
 
WaTanzania wengi akili hamna badala mjikite kwenye taarifa mnaanza ujuaji wa kijinga😕😕

NapitaKamaRadi
 
Back
Top Bottom