Analia mke wake kutumiwa ujumbe usiku na mwanaume mwingine, ametudhalilisha wanaume

Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume!

Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku.

Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani tunajua malipo yao wakuu, kule watu wanalipwa mpaka 3500 kwa siku.

Sasa jamaa anajitetea anasema kuwa alimpa nauli huyo mwanamke kwahiyo alikuwa anamuuliza kama amefika salama. Mwenye mke analia anasema "hata kama umemsaidia nauli lakini kwanini umsumbue kwa sms, wewe kama umemsaidia inatosha siyo lazima muanze kuchati".

Mimi naona huyu jamaa angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe ila siyo kwenye kadamnasi kiasi hiki. Halafu wakuu tutafute hela, maana inaonekana jamaa mfukoni kweupe mpaka demu anachatishwa usiku kisa nauli ya 600 na kuliwa huyu mwanamke ni uhakika 100%.
Shida ya huyo jamaa ukuta hata Mke wake hana uthubutu wa kuongea naye ila amemwamkia Mwanamume mwenzie asubuhi asubuhi.

Hii ni Tabia ya Wanaume wasio na Malengo kwenye maisha yao badala yake wanapenda sana Chini.

Wanamuona Mwanamke kama Malaika au Mungu.
 
Ndiyo umpigie mwanaume mwenzio tena kwenye kadamnasi ya watu huku unalialia eti aache kuchat na mkeo? Je ukikuta analiwa mate?
Kulia muhimu.Haujui anavyofinyiwa kwa ndani wewe.Tena akikumbuka mahari aliyotoa kwa mbinde ndiyo anaongeza kilio kwa kwikwi na uso kunyumbuka kama paka mjane.
 
Ukishampigia simu mwanaume mwenzio unalalamika kids mwanamke, unaonesha udhaifu tayari
 
Kulia muhimu.Haujui anavyofinyiwa kwa ndani wewe.Tena akikumbuka mahari aliyotoa kwa mbinde ndiyo anaongeza kilio kwa kwikwi na uso kunyumbuka kama paka mjane.
Hata kama mkuu anakupa vya uwani, ndiyo ulielie mbele za watu? Tena ilikuwa asubuhi, kwanini asimchane huyo jamaa mbele za mke wake mpaka aje kwenye daladala? Anamuogopa mke wake au?
 
Huyu jamaa kwakweli naona hana haiba ya kiume!

Asubuhi yote hii kwenye gari amepiga simu kwa mwanaume mwenzie analia kuwa kwanini anachati na mke wake usiku.

Yaani watu wamebaki wanamcheka na kusikitika tu hapa. Kwa mujibu wa maelezo yake mkewe anafanya kazi kiwandani, na kazi za viwandani tunajua malipo yao wakuu, kule watu wanalipwa mpaka 3500 kwa siku.

Sasa jamaa anajitetea anasema kuwa alimpa nauli huyo mwanamke kwahiyo alikuwa anamuuliza kama amefika salama. Mwenye mke analia anasema "hata kama umemsaidia nauli lakini kwanini umsumbue kwa sms, wewe kama umemsaidia inatosha siyo lazima muanze kuchati".

Mimi naona huyu jamaa angetumia njia nyingine kufikisha ujumbe ila siyo kwenye kadamnasi kiasi hiki. Halafu wakuu tutafute hela, maana inaonekana jamaa mfukoni kweupe mpaka demu anachatishwa usiku kisa nauli ya 600 na kuliwa huyu mwanamke ni uhakika 100%.

Hela inatosha ikiwa ngapi? Wewe unaona hiyo mia 600 kwako ndogo, ni sawa, una mudu kumpa mke wako say 10,000 kwa siku kama budget yake ili asiliwe na kutongozwa.....

Hivi unajua kuna watu wanatoa hata 1m kutongoza, sasa ukimuona Dogo fala kwa sababu hana 600, na huyu mwenye kutongozwa kwa 1m utafikisha lini idadi ya kumzuia mke asiliwe?

Ni wakati wanawake waamue kuishi maisha ya usafi na uaminifu, na sio bla bla za hela. Mimi mke wangu alileta shida wakati ana hela za kila kitu, tena yeye ndo alikuwa anatowaga pesa zangu nje?

Mwanamke, hawa wanawake mnaona wamevaa nguo wanapendeza, ni basi tu lazima tuishi nao, ila ingewezekana bora kuishi mwenyewe tu na kuwasahau.
 
Kuna mke wa mtu huwa namla, anayosimulia ni huruma kwa mumewe.
 
Ndiyo maana mkuu nimesema kutafuta hela pekee haitoshi, wazee wa kataa ndoa ni kama wana hoja, tuwasikilize
 
Wanaume wa skuzi Bure Kabisa,zamani ni simu Moja "achana na mke wangu"ukikakaidi unapakwa wese.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] khaaa huna adabu wewe
 
Back
Top Bottom