Anamaanisha nini huyu Mwanamke

Nenda chumbani Kisha Toka nduki kurudi sebuleni mwambie umeona panya anakimbizwa na mendee
Kisha mwambie unaogopa isijekuwa Kuna mdudu mwingine mwende hotelini mkalale
 
Pole mkuu ila sanyingine mtu akikujibu upuuzi we mpotezee tu fanya mambo yakr kama hayupo vile mbona akili zitamrudi atasema tu hilo usilolijua.
 
Huwa nashangaa iweje kurudishwa nyumbani iwe adhabu, kwangu itakuwa vacation.
I Miss home😭
Umemisi home,?? kwani ndoa ndio inakukataza kwenda home, kwani ndoa ni gereza hilo, 😳😳 umemis home unazungumza na mwenzio hata mwezi hivi unaenda mtaani
 
Anamaanisha Hua anagongwa nje na wewe hujui na hutawahi kujua
 
Asante kwa ushauri Mkuu.

NITAUFANYIA KAZI USHAURI WAKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kwani mkuu ingekua ni wewe ungefanya nini?
Ningekua Mimi asingefikia hata hiyo stage ya kunifanyia hivyo,angekua anajua anaishi na mtu wa aina gani na angekua anajua kua anaishi kwenye himaya yangu na Mimi ndio mtawala,Kiongozi wa hiyo himaya,So angeishi kwa kufuata misingi iliyowekwa ndani ya himaya anayoishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…