100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Kwani mkuu ingekua ni wewe ungefanya nini?Itoshe kusema wewe ni dhaifu mbele yake na inaonekana amekutawala,
Mwanaume mwenye msimamo hawezi kushikwa sharubu kipumbavu hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkuu ingekua ni wewe ungefanya nini?Itoshe kusema wewe ni dhaifu mbele yake na inaonekana amekutawala,
Mwanaume mwenye msimamo hawezi kushikwa sharubu kipumbavu hivyo.
Pole mkuu ila sanyingine mtu akikujibu upuuzi we mpotezee tu fanya mambo yakr kama hayupo vile mbona akili zitamrudi atasema tu hilo usilolijua.Leo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.
Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.
Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.
Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwambie aonje basi kama anakupenda ili ule
Eee😃🤔Nenda chumbani Kisha Toka nduki kurudi sebuleni mwambie umeona panya anakimbizwa na mendee
Kisha mwambie unaogopa isijekuwa Kuna mdudu mwingine mwende hotelini mkalale
KudadekiNaitamani sana hii adhabu sijui kwanini haitokei kwa upande wangu
Tatizo wewe ni MtataNaitamani sana hii adhabu sijui kwanini haitokei kwa upande wangu
Umemisi home,?? kwani ndoa ndio inakukataza kwenda home, kwani ndoa ni gereza hilo, 😳😳 umemis home unazungumza na mwenzio hata mwezi hivi unaenda mtaaniHuwa nashangaa iweje kurudishwa nyumbani iwe adhabu, kwangu itakuwa vacation.
I Miss home😭
Na hilo giza analoliongelea ni lile la kaburini mkuu.Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza".
Noted [emoji404]Zingatia, Wanawake wengi hujizuia na ku- pretend kuwa hawangaika na wewe ili kukufanya wewe uhangaike na wao. Na wakifanikiwa kukuhangaisha alafu wao wakawa wame-relax unakuwa umekwisha
Robert Heriel Mtibeli
Anamaanisha Hua anagongwa nje na wewe hujui na hutawahi kujuaLeo wakati narudi nyumbani nimemkuta Mwanamke wangu anaangalia Tv sebuleni, nikamsalimia akakaa kimya.
Nimemuuliza shida ni nini, eti anasema "usilolijua ni sawa na usiku wa giza". Nimejaribu kumuuliza anamaanisha kitu gani ila akanikalia kimya.
Wakuu nimeshindwa kula, maana nahisi labda atakuwa kaniwekea vitu vya ajabu kwenye Chakula.
Kila nikimuuliza sababu ya yeye kubadilika ghafra ni nini hataki kusema. Naomba ushauri nifanyeje Wakuu.
Asante kwa ushauri Mkuu.Mwanaume wa kweli haulizi maswali mengi,swali ulilouliza linatosha kabisa,muulize mara ya mwisho shida ni nini? Akiendelea kukaa kimya au kutoa majibu ya kipuuzi nenda next step....
......ambayo ni usimuulize tena, mwanaume habishani na mwanamke,fanya mambo yako kama kawaida usivuruge ratiba yako kwa namna yoyote, ondoka nyumbani kama unavyotoka siku zote rudi kama ratiba yako ya siku zote,kama kuna maagizo yoyote mpe,kwa kifupi wewe jitahidi kwa namna yoyote kujifanya kama hakuna kinachoendelea.
Labda kama hajapika,kula njiani usilale njaa sababu ya mwanamke,usimgombeze utaonyesha udhaifu,fanya mambo yako mwenyewe,amka nenda kazini,akipika kula usisuse, asipopika pia sawa,nakuahidi hapitishi siku tatu atakuambia shida ni nini.
Usibishane na mwanamke akiwa kwenye hali kama hiyo,we muache ahangaike mwenyewe,tafuta siku yako ambayo unaona amekuwa vizuri kisirani kimeisha,ongea naye yale unayoyataka kumwambia kwa upole kabisa.
Wanawake wanatabia ya kutaka kucheza na akili za wanaume,we fanya vyovyote asicheze na akili yako,hata kama inakuumiza jikaze usimuonyeshe hata kidogo,mana hilo ndo lengo lake.
Ningekua Mimi asingefikia hata hiyo stage ya kunifanyia hivyo,angekua anajua anaishi na mtu wa aina gani na angekua anajua kua anaishi kwenye himaya yangu na Mimi ndio mtawala,Kiongozi wa hiyo himaya,So angeishi kwa kufuata misingi iliyowekwa ndani ya himaya anayoishi.Kwani mkuu ingekua ni wewe ungefanya nini?
Wewe pia ndo mkristo unajifanya kuwatetea wapelistina?We ni bwege, anajua ni bwege ndio maana anafanya upuuzi kama huo ushauri acha ubwege.
We ni mroma mkatoliki?