hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 1,274
- 3,282
Wababa tunasingiziwa mengi, wakati kuna muda mtoto akifanana na baba kuna uafadhali!Picha yake au sura ya baba yake?
Wanasema sura zetu ngumuWabab tunasingiziwa mengi, wakati kuna muda mtoto akifanana na bana kuna uafadhali!
πππ Kuna jamaa alimuoa mwanamke wa dizaini hiyo huko mkoani akamleta townWakuu
Huyu demu anajaribu kunishawishi kuwa ananipenda, lakini kwakweli ana sura ya baba.
Mlio na uzeofu na hawa ugly girls nipeni muongozo.
Pussie si anayoWakuu
Huyu demu anajaribu kunishawishi kuwa ananipenda, lakini kwakweli ana sura ya baba.
Mlio na uzeofu na hawa ugly girls nipeni muongozo.
tumekukosea nini mkuuu ππ»ππ»ππ»Tako lipo?
Anaweza kuwa na sura ya baba ila ukiangalia tako unakua na cha kujifariji. Ila wale wa sura ya baba shape ya loveness basi hata miguu ya Kibu hapana aseeh
Hapana mkuu.. nachopenda ni haiba ya kike iwepo hata kama ni sura ya baba.tumekukosea nini mkuuu ππ»ππ»ππ»
tukishajijua tuna sura ya baba shepu shapeless tunakosa haiba ya kikeHapana mkuu.. nachopenda ni haiba ya kike iwepo hata kama ni sura ya baba.
COVER THE FACE, FIRE THE BASE.Wakuu
Huyu demu anajaribu kunishawishi kuwa ananipenda, lakini kwakweli ana sura ya baba.
Mlio na uzeofu na hawa ugly girls nipeni muongozo.