Ananipenda sawa, lakini ana sura ya baba

Ananipenda sawa, lakini ana sura ya baba

Wakuu
Huyu demu anajaribu kunishawishi kuwa ananipenda, lakini kwakweli ana sura ya baba.
Mlio na uzeofu na hawa ugly girls nipeni muongozo.
Fuata moyo wako japo wapo watu watakao kuja kuambia naye anakishimo na utelezi ila zingatia moyo wako. Endelea kumkazia macho ukimuona alafu isikilize akili na moyo wako kama inamkataa sana achana nae
 
😂😂😂 Kuna jamaa alimuoa mwanamke wa dizaini hiyo huko mkoani akamleta town

Mke wake alikuwa anakuja ofisini kwake (fundi na muuza vifaa vya pikipiki ) kumletea chakula

Washikaji walikuwa wanamcheka sana hadi akamkataza asikanyage pale ofisini

Washikaji waliendelea kumnanga hadi akamuacha yule manzi.

NB:

Usioe kwa faida yako tu angalia maslahi ya watoto wako

Usije kuoa mwanamke ambaye baadaye hata watoto wako hawatotaka mama yao ahudhurie shuleni kwao wakiogopa kuchekwa na wanafunzi wenzao
Ni sawa kumcheka mtu mwenye kitambi kwa sababu ni matokeo ya lifestyle yake na pia anaweza kukipunguza. Vipi ukimcheka mtu ni mbaya, mfupi au mweusi na wakati wewe umejikuta tu ulivyo bila kuweka jitihada yoyote

Sijui kwa nini tunavichukulia kawaida hivi vitu, kumcheka ama kumdhihaki mtu kwa kitu ambacho hawezi kubadilisha si sawa.
 
Pamoja na yote, muonekano ni muhimu. Mke awe na muonekano mzuri, avutie...yule ni ua, waridi, lazima avutie.
Hawa wengine wataolewa na nani mkuu 😁😁

Kwa nini mwanaume kuchagua mwanamke mwenye mvuto kwa kuwabagua wasio na mvuto inaonekana ni sawa ila mwanamke kuchagua mwanaume mwenye pesa kwa kuwabagua wasio nazo inaonekana ni umalaya au si sawa.

Naamini kila shetani ana mbuyu wake mkuu na kila mtu achague kinachompa furaha
 
Wakuu
Huyu demu anajaribu kunishawishi kuwa ananipenda, lakini kwakweli ana sura ya baba.
Mlio na uzeofu na hawa ugly girls nipeni muongozo.
Hiyo sura unaila!?... By the way sijui kama kuna K zenye sura ya baba, mama wala shangazi!...

Shimo ni shimo mkuu.. cha muhimu...unapata pa kumwagia!... Wengine wanazimwaga chooni!...

stimu kwa mwanamke inapatikana pale anapokuwa uchi...

Unataka sura!?... Unaenda kufanya nae photoshoot!?
 
Hawa wengine wataolewa na nani mkuu 😁😁

Kwa nini mwanaume kuchagua mwanamke mwenye mvuto kwa kuwabagua wasio na mvuto inaonekana ni sawa ila mwanamke kuchagua mwanaume mwenye pesa kwa kuwabagua wasio nazo inaonekana ni umalaya au si sawa.

Naamini kila shetani ana mbuyu wake mkuu na kila mtu achague kinachompa furaha
Mkuu,
urembo na uzuri, waridi na kuvutia vipo machoni pa mtu. So yule ninayemuona mrembo, huenda kwako ni wa kawaida sana, ndio maana wote wanaolewa.

Hata wadada,
Wapo wanaosema wanaitaji mume mwenye pesa, ukiuliza watakuambia awe anapewa 10k kwa siku. Wao 10k kumbe ni pesa ndefu😅😅😅 wakati wapo wadada matawi kweli kweli, ukimtoa out hata 500k inakata, so hata "kuwa na pesa" pia ni subjective.
 
Umenijibu technically ila umeelewa 😁😁
 
Back
Top Bottom