Ananipenda sawa, lakini ana sura ya baba

Mkuu ukisikia wabongo wengi ni wajinga wasio na utu,washamba na wanafki unafikiri ni utan!!!!!!
 
Duu binadamu wote ni sawa hakuna sura mbaya wala nzuri
 
Ni ujinga tu na kukosa utu. Why umcheke binadamu mwenzako ili hali wote tumeumbwa.
 
Asilimia kubwa ya watoto wakike wanafanana na baba zao kuliko wa kiume.
Sio hivyo wala. Kuna jamii na koo ambazo watoto wakike wanawafanana mama zao na wa kiume wanawafanana baba zao.
Pia kuna koo zina damu nyepesi sana kupotezwa zile awe mama awe baba watoto hawatomfanana. Hizi ndizo pekee mzazi atachagua uzuri wa mwenza na akapatia kwa asilimia kubwa.

Kuna koo zenye damu nzito watoto wa kike na wa kiume wanawafanana baba zao, yani hawa unakuta baba mweusi na mama maji ya kunde wa asili yule kibongobongo wanasema mweupe ila mtoto wa kike anazaliwa mweusi ti. Baba kama ana kipara, mtoto wa kike anazaliwa ana bonge la komwe. Baba kama ana kichogo, mtoto wa kike anazaliwa na kichogo. Na unakuta ukoo mzima mabinti wanafanana baba zao.
 
Tuma picha tuone maneno bila ushahidi hatuamini 😂
 
Duh ni kweli kabisa
 
Pamoja na yote, muonekano ni muhimu. Mke awe na muonekano mzuri, avutie...yule ni ua, waridi, lazima avutie.
Huenda Sura ni ya Baba Ila ana chura elimu na pesa.... Na swagaz. Hizi ninakujaga kubalance kidogo Kama sura n ya Baba.
 
Aise tuko tofauti sana mm navutiwa sana na demu mwenye sura ya baba yaani napenda awe mweusi tii mrefu na awe na tako la wastani,huwa sivutiwi sana na demu mweupe na mrembo sana hyo sio type yangu kabisa.Mimi napenda black materials napenda gari nyeusi,bati nyeusi,demu mweusi, t-shirt nyeusi,simu nyeusi,gari nyeusi
 
Fuata Ushauri was masela hapo juu mkuu hususani kuhusu Tako.Unaambiwa mwanamke Tako sura tutavumiliana,au tutaziba hata na gazeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…