Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Joannah Labella njooni mumsaidie mwenzenu huku anagawa mbususu kwa hela ya nauli🤣🤣🤣🤣

Ila sasa lakini sii anakigegeda vizuri wee ridhika maana nagekuwa hakugegedi vizuri usingekuwa unakipeleka
 
Huyo mtu nampatia wapi mkuu… kuliwa mara nyingi mimi kwangu hapana labda nimiss mimi ila yeye tu big no
Subiri kwanza mkuu,
Upo tayari kukaa na mtu unaona kabisa abakutumia kwa maslahi yake? Huna option nyingine? Mbona wanaume wapo wengi tu?

Kwanza una umri gani!
 
Joannah Labella njooni mumsaidie mwenzenu huku anagawa mbususu kwa hela ya nauli🤣🤣🤣🤣

Ila sasa lakini sii anakigegeda vizuri wee ridhika maana nagekuwa hakugegedi vizuri usingekuwa unakipeleka
Sina wa kunigegeda ndio maana nampelekea yeye
 
Mara 2 kwa miezi minne ndo umeshahitimisha hivyo.

Jamani hivi mkisikia uhusiano mnakuwa mnauchukuliaje yani?
 
Huyo hataki tuu kusema ukweli kuwa hapa jamaa anamgegeda vizuri
Kikojoleo chake na changu vinaendana napenda anavotetemeka kama jenereta n kizungu flani hivi anaongea 😂😂😂
 
Subiri kwanza mkuu,
Upo tayari kukaa na mtu unaona kabisa abakutumia kwa maslahi yake? Huna option nyingine? Mbona wanaume wapo wengi tu?

Kwanza una umri gani!
Bado naendelea kutafuta option tatizo nyie wanaume hamtaki mahusiano ya bila sex ndio hicho kinanigea ugumu ila hata Leo akisema mtu yupo seriously anaenda home huyu namuacha kweupee
 
Bado naendelea kutafuta option tatizo nyie wanaume hamtaki mahusiano ya bila sex ndio hicho kinanigea ugumu ila hata Leo akisema mtu yupo seriously anaenda home huyu namuacha kweupee
Niende home kwenu bila kutest mitambo?
Nikiona bwawa baada ya kutoa mahari na kukuoa hasara itakuwa kwa nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…