Mi siamini hadi untumie lifoto dm.Wewe jamaa kila nikisoma hapa najikuta nacheka et umetafakari ukaona nini🤣🤣🤣🤣
kwaiyo mimi silipi nitakaa single muda mrefu weeeeeeeeeeeee😆😆😆
Kumbe wanaume tukiwaganda mnaonaga sisi tumedoda my friend mimi sio mbaya kiasi hicho kabisa ni vile tu nina upendo wa dhati halafu nakutana na bad boys and najisikia vibaya kuwa na body count kubwa
Na huyu kijana kwenye kundi la handsome tumtoe kabisa ni kijana wa kawaida sana na sio huyo unaemuwaza wewe
Labda tu hanipendi au kuna vigezo vyake anavyotaka sina au pia ana commitment na mwanamke mwinginee but sio kwamba mimi ni kabaya jamani
Asante kwangu haitoshi dear!Asante mkuu
Mimi kabaya bhn najipendekeza tuMi siamini hadi untumie lifoto dm.
Nipo tayari kupokea face ID yako dm...Karibu sana!😂😂 wewe jamaa kwaiyo mimi mbovu sina mvuto wa kike we jamaa daah Mungu anakuona
Sio hata high classic Msukuma mmoja mshamba tu… labda tu niseme ana ka mtu kake seriously halafu ni long distance.. kama kuna ka view once Jamii forum nitag nikutumie pic yangu ni kabaya ila sio kiivo
Hilo halipingiki mkuu.. ushaurii pia nitauchukua na kumpelekea nitapeleka mkuuHapa tunatwanga Maji kwenye kinu,si Bure tunakushauri ukitoka t online unampelekea
Ushasema tofauti yako na nana dolls ni ustaa tu. Nipatie nakala yakoMimi kabaya bhn najipendekeza tu
Achana nayo nimejiangalia kwenye kioo nimeona why hanitaki mkuuNipo tayari kupokea face ID yako dm...Karibu sana!
Ndio nani huyo huko duniani mkuuUshasema tofauti yako na nana dolls ni ustaa tu. Nipatie nakala yako
Asante na mayai mkuuAsante kwangu haitoshi dear!
Aliyeanzisha hili jina dudu mbinguni haendi😂😂😂😂😂mh eti dudu🤣🤣🤣 sasa nimechoka nataka mahusiano seriously sio ya kupeana dudu.. hata hivyo na yeye amehisi ninamtumia kwenye sex
Au chululuAliyeanzisha hili jina dudu mbinguni haendi😂😂😂😂😂mh eti dudu
Unamaanisha mayai kama mayai au mayai gani?!Asante na mayai mkuu
Ya chipsUnamaanisha mayai kama mayai au mayai gani?!
Sasa wewe pesa ya huyo mwanaume ya niniKuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Hayo siyajui yanakuwaje!!Ya chips
Kazi ya pesa ni nini mkuuSasa wewe pesa ya huyo mwanaume ya nini
Chips mayaiHayo siyajui yanakuwaje!!
KumbeHaujampa price tag yako ndo maana anahisi unatoa bure