Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Pole sana dada yake na mimi kwa changamoto hiyo ya kimahusiano, nafikiri ni changamoto ya mahusiano ya pande zote hata wanaume tunazipitia lakini mi ningependa kabla sijakushauru nirejelee reflection ya literally works zinamchora mwanamke as a tool of sex kwa mwanaume kwo wanaume wengi bado tuna mentality nyingi za kuwa mitazamo hiyo kwa wanawake wetu tulionao kwenye mahusiano ya kimapenzi. Hivyo ningekushauru utambue kuwa mapenzi ya kweli ya utayapata kwa mtu anayekupenda pekee na siyo unayempenda kwani mtu anayekupenda akili na focus yake iko kwako kwa 75% kati ya 100% lakini ukimpenda unayempenda Kuna uwezekano mkubwa wa kukutana na hatari ya kupenda moyo wa mtu mwingine thus unakuta hata yeye hakufikirii zaidi ya kukutumia kwenye sex tu.
 
Unavolalamika khaa!! Mwanzo nilikuwa naanza kujawa hisia za huruma, lakin mwisho wa uzi sijakuonea hata. Mtu mnamiez mi 4 ila malalamiko kama mnamiaka, umempa tamu mara 2 tuu lkn utazan unampaga kilasiku??

Hapo we tulia, mapenzi yanaeza anza bardi na yakaja kuwa hot kadri siku zinaenda. Kuna mengi hujajua kuhusu jamaa na yeye hivohivo hajui kuhusu wew ila kadri mtavizid kupeana mtajuana navmambo yatakuwa powa. Punguza matarajio makubwa kutoka kwake na wacha mapenzi ya runinga utakuwa n furaha.
 
Sawa mekuelewaa
 
Ndicho alichokupendea hicho,we mpe tu aipelekee motro
 
Sawa
 
HI
Hii ni chai tu! Umeanza kwa kutupa picha kuwa jamaa anakutumia kwa sex tu halafu huku mwisho unasema mahusiano yenyewe ni ya miezi minne na mmesex zaidi ya mara mbili! are you serious? Halafu unaleta issue ya pesa na kumpa bure WTF!
 
Joannah Labella njooni mumsaidie mwenzenu huku anagawa mbususu kwa hela ya nauli🤣🤣🤣🤣

Ila sasa lakini sii anakigegeda vizuri wee ridhika maana nagekuwa hakugegedi vizuri usingekuwa unakipeleka
Huyu bwana story zake huwa zina manjegeka sana😂😂😂😂Sasa si amuombe hela hajui mapenzi ni bata trade?
 
Hizi lawama za nn ikiwa mahusiano yana miezi minne na mgegedo ni mara mbili???? Kibaya zaidi mara zote mbili umepewa nauli! Unataka upendo wa aina gani tena????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…