Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Umeingia sehemu isiyo salama kwako, na baadae utalea mtoto peke Yako, usikubali kwenda kwa mtu asiyeona thamani Yako kwake nawe pia huoni kama anakuthamini, ushauri: usiendekeze moyo kuona huwezi kumuacha, MUACHE na atakuja atakayeiona thamani Yako, kama hujafanya hivi usingle mama uko karibu na wewe na hapo utakuwa umeharibu Kila kitu.
 
Mwaka Jana december hapo ulisema hugawi bure, mbona tena ghafla tayari umemiss kusex naye 😹🀣🀣

Sasa cha kufanya wewe tafuta pesa zako Ila ukimiss dyudyu mfate..!!!
 
Mwaka Jana december hapo ulisema hugawi bure, mbona tena ghafla tayari umemiss kusex naye 😹🀣🀣

Sasa cha kufanya wewe tafuta pesa zako Ila ukimiss dyudyu mfate..!!!
🀣🀣🀣 sasa nimechoka nataka mahusiano seriously sio ya kupeana dudu.. hata hivyo na yeye amehisi ninamtumia kwenye sex
 
Sana kabisa
 
Mwaka Jana december hapo ulisema hugawi bure, mbona tena ghafla tayari umemiss kusex naye 😹🀣🀣

Sasa cha kufanya wewe tafuta pesa zako Ila ukimiss dyudyu mfate..!!!
Alipie tangazo.πŸ˜…
 
Ni kweli kwasababu pia na mimi ninakuwa nina hamu ya kufanya nae.. but kila nikimaliza hapo huwa najisikia vibaya
Ujue kuwa wakati hujafanya kitendo hicho ambaye anakuwa anakushawishi kufanya ni shetani,ukishafanya shetani ana kaa pembeni,roho wa Mungu ana anza kukuhukumu kuwa umemkosea Mungu,ndiomaana huwa unajisikia vibaya baada ya kufanya hivyo,kwa kuwa ni kitendo cha dhambi na kama unajisikia vibaya ujue kuwa Mungu bado anakupenda na unanafasi ya kumurudia na usipofanya hivyo shetani anayekutumia kufanya hivyo atakukataa siku ya hukumu kuwa hakukutuma yeye ulifanya kwa mapenzi yako mwenyewe.
 
Ni kweli kwasababu pia na mimi ninakuwa nina hamu ya kufanya nae.. but kila nikimaliza hapo huwa najisikia vibaya
ooh kama unajisikia vibaya huyo sio ridhiki yako! kama unaweza nitafute nina Tiba yako hiyo! tutakaa sehem na kuweka sawa nipo dsm..wewe je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…