- Thread starter
- #41
Ni kweli mambo ni yaleyale kama mwaka janandoman mwezi hauishi,, kumbe kuna watu mshazini tayari huu mwaka aaaaaarrrrrrgggghh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mambo ni yaleyale kama mwaka janandoman mwezi hauishi,, kumbe kuna watu mshazini tayari huu mwaka aaaaaarrrrrrgggghh
Ukuje badae umeme ukirudNi tamu mechi ni nzuri ila kijana ni mbinafsi
Hakajambo kamenipausha balaa😘😘 Tumefika salama..
Akajambo hako
uishe harakaNi kweli mambo ni yaleyale kama mwaka jana
Sasa mtumishi na huu upwiru nitaishijeUjue kuwa wakati hujafanya kitendo hicho ambaye anakuwa anakushawishi kufanya ni shetani,ukishafanya shetani ana kaa pembeni,roho wa Mungu ana anza kukuhukumu kuwa umemkosea Mungu,ndiomaana huwa unajisikia vibaya baada ya kufanya hivyo,kwa kuwa ni kitendo cha dhambi na kama unajisikia vibaya ujue kuwa Mungu bado anakupenda na unanafasi ya kumurudia na usipofanya hivyo shetani anayekutumia kufanya hivyo atakukataa siku ya hukumu kuwa hakukutuma yeye ulifanya kwa mapenzi yako mwenyewe.
Na ndiomana anakukoleza ili akukope vizuri 😹🤣🤣🤣🤣🤣 sasa nimechoka nataka mahusiano seriously sio ya kupeana dudu.. hata hivyo na yeye amehisi ninamtumia kwenye sex
Dawa gani mkuu itaje hapa.. ila ninammiss baada ya yoteooh kama unajisikia vibaya huyo sio ridhiki yako! kama unaweza nitafute nina Tiba yako hiyo! tutakaa sehem na kuweka sawa nipo dsm..wewe je?
Jaman poleee sana..Hakajambo kamenipausha balaa
Kadogoo bhana kuuza anataka Ila nyege zinamponza 😹🤣🤣Alipie tangazo.😅
🥹🥹🥹 sasa hapo ushaurii wako wa mara Hii nitausikiliza mambo ya kukopwa halafu hanipi attention ndio siyatakiNa ndiomana anakukoleza ili akukope vizuri 😹🤣🤣
Kadogoo bhana kuuza anataka Ila nyege zinamponza 😹🤣🤣
Ayaa 🥰Jaman poleee sana..
Leo jioni tapita hapo na yogati 🤞
Mimi ukweli Sina ninachompa but Hii ni kutokana na yeye alivyoyaweka haya mahusiano no communication sasa hata mchango utatoa mchango gani kuna bond ukiitengeneza lazima niwe na cha kutoa ila Hakuna bond bond ni mpk amiss kunisexWewe unamsaidia nini,umeshawahi mpa hata voucha ya buku kweli.
Unaweza ukawa unamtumia ukamsosesha mtu sahihi
Et kweli hanipi vyote hadi hurumaKama mtu akujali kimawasiliono na ela akup muache tuu, ilibd achagui moja apo
Njoo DM kwa maelekezo zaid
usijal nitafute! kama upo dsm ni vizur zaidi..! utamsahau huyo jamaa vizuri tu..utaniambia ni maeneo gani huwa unapenda kwenda kupumzisha akili/relax ukiwa na stressDawa gani mkuu itaje hapa.. ila ninammiss baada ya yote
Basi hata anijali kwenye mawasiliano.. hivi mtu umetoka kwake ana shindwaa hata kukuuliza kama umefika salama… anakaa siku ya pili ndio anakutafutaGawa utamu huo.. hela ww yake ya nini na wakati umeshasema wote ni wafanyakazi [emoji23]
😳😳usijal nitafute! kama upo dsm ni vizur zaidi..! utamsahau huyo jamaa vizuri tu..utaniambia ni maeneo gani huwa unapenda kwenda kupumzisha akili/relax ukiwa na stress