Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kulala nayeKwaiyo nifanyaje mama mtu
aNAKAZIA
Na uzi ufungwe,jishikize ukiwa unasubiri kupata bwana atakaekuwa na vyote unavyovitaka
inaonekana una hogo tamu hadi wanaligombaniaAfu hii tabia ya kutokumtafuta mtu pale tunapotoka kuonana hata mimi huwa ninayo yaan huwa nasahau hata kuuliza vp umefika salama,mpaka wao ndo huwa wananipigia
Ni tabia mbaya.. unaonesha kutokujali kama mtu atapata tatizo njiani huna taarifa si vyemaAfu hii tabia ya kutokumtafuta mtu pale tunapotoka kuonana hata mimi huwa ninayo yaan huwa nasahau hata kuuliza vp umefika salama,mpaka wao ndo huwa wananipigia
HapanaNjoo kwangu nitakuoa
Ushauri mwingine nina kazi naoNinaogopa maana ninaweza kupata mimba akanikataa… ukiachana na huo ushaurii huna mwinginee
Wewe ni Braza ama sistaSema hogo nalo tamu, halafu ukute ndio yule TALL, DARK and HANDSOME uwiiiih mbona utakuwa chiziii akikushika tu unalegeaa unashangaa IMOOOOOOOOOOO.... mara paaap.... MIKITO.
Cc: Mwachiluwi Kijana masikini Dogoli kinyamkela Lamomy Extrovert Lloyd Munroe secretarybird
Ni mashuhuri😆😂Aisee, kumbe ni nguli..
Sista AnnitaWewe ni Braza ama sista
😂😂😂😂😂😂😂 Usimsanue banaUmeingia sehemu isiyo salama kwako, na baadae utalea mtoto peke Yako, usikubali kwenda kwa mtu asiyeona thamani Yako kwake nawe pia huoni kama anakuthamini, ushauri: usiendekeze moyo kuona huwezi kumuacha, MUACHE na atakuja atakayeiona thamani Yako, kama hujafanya hivi usingle mama uko karibu na wewe na hapo utakuwa umeharibu Kila kitu.
Mara nying wanaponipigia hunilaumu,hata hvyo mimi sjazoeaga mapenz sana ya sm kupigiana pigiana sm,siunajua tena sie wazee wa 1900Ni tabia mbaya.. unaonesha kutokujali kama mtu atapata tatizo njiani huna taarifa si vyema
Ni kweli…. Kabisaa na sasa ameanza kuning’aniza tuishi pamoja nimemwambia haiwezekani mpk tuoane anasema tutapanga mbeleni lakini kwa namna alivyo sioni muoaji kabisaAnaeijua thamani yako ni wewe mwenyewe kwahiyo kama hakujali sidhani kama anakupenda, yupo nawe kwa sababu akikosa kwa wengine kwako ni chap.