Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mlipewa bure toeni bure, ndio maisha yalivyoNa ndiomana anakukoleza ili akukope vizuri 😹🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlipewa bure toeni bure, ndio maisha yalivyoNa ndiomana anakukoleza ili akukope vizuri 😹🤣🤣
Bora ufungue account Tinder tu!Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Pole mdogo wanguNa Mimi niliamua kufanya hivyo ila unakuta najisikia vibaya yaani natamani angenijali tu… unajua nyie wanaume hamjali kuhusu body counts zenu ila kwa wanaweke ni tofauti kuongeza body counts huwa inauma sana ndio maana unakuta tunavumilia mtu mmoja ni aibu aisee
a
Wewe hujarogwa, shida yako paipu size imekukonfyuzi ukikompea na R.I.P ex, by the way apedomia is seriously problem.Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
uPole mdogo wangu
Ni ugonjwa gani huo mkuuWewe hujarogwa, shida yako paipu size imekukonfyuzi ukikompea na R.I.P ex, by the way apedomia is seriously problem.
Shida hio wanayo wanawake wengi ya kupenda wanapovurugwa akili. Yani mwanamke ukimuonesha kutokujali ndio hafikirii hata kwenda popote zaidi ya kunung'unika tu 🤣Ni tabia mbaya.. unaonesha kutokujali kama mtu atapata tatizo njiani huna taarifa si vyema
Huendi mbinguni kaka 🤣🤣🤣🤣Pengine amesha kuona hazimo, so ana ona msi poteze muda kujadili upuuzi😆
Sex kabla ya ndoa kwa wanaume hawa labda kama ni mchungaji au ana matatizo ya huko chiniunaonekana ni binti uliyetulia sana , mwenye maono na ndoto kubwa, kaza moyo kubali ukweli achana naye, anza upya, ,mtangulize Mungu, epuka sex kabla ya ndoa hilo ni shimo, karibu pm tuzungumze
Mnatutesaawavulana wabaya(bad boys) wanazidi kuchukua marks;
1. hawajali
2. hawajipelekeshi
3. hawaambiliki.
sijui ni kwanini wanawake wanavutiwa na wanaume wasiowajali, nilijua hizi stori ni za uongo lakini siku hizi naona wanawake wanakiri wenyewe kabisa, kumbe kuna ukweli
na mimi nafikiria kujiuga na hicho chama
Asante nimechukua hiyoUmeingia sehemu isiyo salama kwako, na baadae utalea mtoto peke Yako, usikubali kwenda kwa mtu asiyeona thamani Yako kwake nawe pia huoni kama anakuthamini, ushauri: usiendekeze moyo kuona huwezi kumuacha, MUACHE na atakuja atakayeiona thamani Yako, kama hujafanya hivi usingle mama uko karibu na wewe na hapo utakuwa umeharibu Kila kitu.
Hivi kweli kwanini uwe hivyo ina maana hujali ila tukisema tupo njiani tunakuja kila saa sms ya umefika wapi sijui chukua bolt fasta daladala utachelewa ila tukiondoka hata kuuliza kama tuligombezwa nyumbani Hakuna hii sio nzuriMamaaa hii ya kuuliza kama umefika baada ya sex na mimi pia inaweza katika hata siku mbili. Sijui ni pepo sijui nini najiona tu sina cha kuongea na wewe sina jambo kabisa aisee. Mtu samehe kwa hili. Nazani nikioa itakuwa poa sana
Na usirudi nyuma utakuja shukuruA
Asante nimechukua hiyo
Unaishi mkoa upi kwanza?Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Huyo achana nae anakuja kwa sababu ya upwiru lakini na wewe kama huna sehemu ya kutolea upwiru usimuache maana usifanye masihara na upwiru huyo anakuchukulia poaKuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex
Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda
Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah
Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…
Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia
Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…
Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia
Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa
Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
inaonekana mnapenda matesoM
Mnatutesaa
Hii ni jamii forum na huenda ni dada yangu ndugu😂😂😂😂😂😂😂 Usimsanue bana