Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

sasa sister Kama kitu pekee ana weza offer ni ngono??, wa nini Sasa😆
Nitoe ofa gani mkuu… yeye ana ofa nini kwangu zaidi ya ngono… Hakuna anachogharamia kwangu zaidi ya hiko.. sasa unataka mimi nijitoe kwake kwa kipi..

Nilishawahi kuwa na mahusiano mazuri sana bahatii mbaya tu Mungu akamchukua na kwa kipindi hiko sikuwa na kazi nilikuwa niponipo tu na Kijana alikuwa akinipa support na kunishirikisha mipango yake hawezi kufanya kitu bila kunishirikisha sina cha kumpa ila nilikuwa natoa mipango na ushaurii.. kuna vitu yule kaka alikuwa akivifanya na Hakuna familia yake aliejua zaidi yangu mpk anafariki mimi ndio walinitafuta na kuniomba niwape taarifa ya chochote nachokifahamu kuhusu ndugu yao..

Hakuna mwanamke asieleta mchango wowote kwa mwanaume Kama mwanaume umeshindwa kumshape mwanamke wako huwezi kuona mchango wake kwako na pia kama mwanamke hajakuelewa hawezi kucomment chochote kwenye maendeleo yako
 
Hivi kweli kwanini uwe hivyo ina maana hujali ila tukisema tupo njiani tunakuja kila saa sms ya umefika wapi sijui chukua bolt fasta daladala utachelewa ila tukiondoka hata kuuliza kama tuligombezwa nyumbani Hakuna hii sio nzuri
Ndio mtubebe mjue ni udhaifu tu hapana namna unaweza pretend siku moja lkn siku nyingine hali inaweza kuwa vile vile raha kuolewa/ukioa
 
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Unataka tukushauri uache kusex nae?? au umuache? mbona majibu unayo au umekuja kututambia una jamaa mpenda sex?
 
Foa haupo kwenye relationship,,,Kama upo ni one sided (means you started relationship without his permission) upo kwenye situationship,,,he just want to have temporary fun then ana kudump sasa mtu kama huyo Unatakiwa wewe ndio um dump first or else utaumia inaonesha ushacatch feeling, anza kuongea na watu wengine kama hauna ingia dating app just talk to other people after 2days unamsahau unafanya mambo yako,unless kama Unataka ku have fun pia ila Hamna love hapo!!!
 
Foa haupo kwenye relationship,,,Kama upo ni one sided (means you started relationship without his permission) upo kwenye situationship,,,he just want to have temporary fun then ana kudump sasa mtu kama huyo Unatakiwa wewe ndio um dump first or else utaumia inaonesha ushacatch feeling, anza kuongea na watu wengine kama hauna ingia dating app just talk to other people after 2days unamsahau unafanya mambo yako,unless kama Unataka ku have fun pia ila Hamna love hapo!!!
Situationship
 
Njoo kwangu mzee wa misheni town, no actual job, no elimu. kukujulia hali ni heri kwangu ila jitafakari kwanza. Kijiji shule mjini mipango
 
Mimi ukweli Sina ninachompa but Hii ni kutokana na yeye alivyoyaweka haya mahusiano no communication sasa hata mchango utatoa mchango gani kuna bond ukiitengeneza lazima niwe na cha kutoa ila Hakuna bond bond ni mpk amiss kunisex
So wewe kwenye sex inaonekana unapoteza yaani hufurahii kile kitendo inavyoonyesha yaani mwili wako hauoni Kama mwili wake ni chakula cha mwili wa kwako kwa kiufupi, hisia huna ivyo unataka ufaidike kwa kupewa matunzo.ila sex kwako ni hasara ama nakusoma vibaya
 
Sijawah muomba nauli naendaga na yangu nikiondoka ndio huwa ananipa mwenyewe
Kwa hiyo kumbe huwa unatumia mtaji kupata faida safi sana Sasa utaachaje kwenda na unajua ukiondoka uhakika,
Nikwambie tu anakuona kama unamuuzia kei! Akikupa hela kataa mwambie hujiuzi!
 
Back
Top Bottom