hapana usitafte mtu kwa sababu ya dhehebu au la hatua ya kwanza tambua kwamba ngono kabla ya ndoa ni dhambi, na inaharibu hatima yako, kingine fanya maombi ya toba, jitenge na ulimwengu kwa siku tisini kwa maana gani hizi sku 90 focus na kazi, kula vzr, fanya mazoezi , lala sana, fanya ibada, itakusaidia kuilinda na kuitetea imani yako, akija mwanamme mwambie sawa ila procedure nenda nyumbani simple, hii itakusaidia kukutana na right patner vijana wengi sku hz wamewaka tamaa, na ndo maana unaona kijana ataonyesha kukupenda ila baada ya tendo anapunguza mawasiliano, na kukuacha katika majuto