Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Ananitafuta akitaka tufanye mapenzi tu. Nataka kumuacha, nashindwa maana ninampenda

Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…

Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio nimelishikilia maana anaweza kaa hata siku 4 hajanicheck na akinitafuta hazungumzii lolote la maana.. yaani hatujawai kaa tukazungumza la maana zaidi ya sex

Kusema ukweli na mimi nimeshazoea akinitafuta Sawa asiponitafuta na mimi simtafuti yaani nimeamua kwenda na anavyoenda

Kinachoniumiza ni ile hali mmetoka kuonana yaani hapo mmeachana hawezi hata kukuuliza umefika salama yeye anapiga kimya kesho yake ama baada ya siku 2 ndio anakutafuta.. et kukujulia hali kama uko sawa na blablah

Nimeshajizuia mara nyingi akiniita nisiende ila nashindwa unakuta akinitafuta tu sichomoi lazima niende na nina kuwa napata hali ya kumis kusex nae kila wakati… huyu ni mwanaume wangu wa pili kuwa nae after my ex kufariki…

Sina mwanaume mwingine zaidi yake ila ananifanya nijione sina thamani kwasababu haijawai kutokea mimi kuwa hivyo najiona nimekuwa mrahisi kwake kwa kukubali kunitumia vile anavyojisikia

Mahusiano yana miezi 4 na tumeshasex zaidi ya mara 2…
Kingine huyu mwanaume hanipi hela zaidi ya nauli tu kama tukionana na mimi pia sijawah kumuomba hata vocha yake… jamani nampa bure kabisaa lakini yeye hajali kuhusu mimi…

Mpk ninahisi huyu mwanaume atakuwa ameniroga au Nina matatizo ya kisaikolojia

Naombeni ushaurii kama Hii hali ni ya kawaida au kunakitu hakipo sawa

Mimi Nina Miaka 24 yeye ana miaka 29
Mimi nina kazi na yeye pia ana kazi yake
Pole sana!!
Jaribu kutoshiriki nae ngono kwa muda flani... kama akikuacha basi gundua unatumika kama sex toy...

Kwa ufupi unatumika kumaliza haja zake za kimwili, there is much much more to a relationship than just sex...

Tafuta mwingine atakaye kuheshimu na kukupenda.. atapenda na mwli wako, huyo wa sasa hapendi mwili wako anautumia kama sex toy..

Kingine kwa hivi sasa JF si sehemu nzuri sana kuomba ushauri...
 
Comrade una poteza mda😆😂
Screenshot_20250114-141921_1.jpg
 
Pole sana!!
Jaribu kutoshiriki nae ngono kwa muda flani... kama akikuacha basi gundua unatumika kama sex toy...

Kwa ufupi unatumika kumaliza haja zake za kimwili, there is much much more to a relationship than just sex...

Tafuta mwingine atakaye kuheshimu na kukupenda.. atapenda na mwli wako, huyo wa sasa hapendi mwili wako anautumia kama sex toy..

Kingine kwa hivi sasa JF si sehemu nzuri sana kuomba ushauri...
Nashukuru kwa ushauri
 
Basi hata anijali kwenye mawasiliano.. hivi mtu umetoka kwake ana shindwaa hata kukuuliza kama umefika salama… anakaa siku ya pili ndio anakutafuta
Ukiwa nae umwambie ukweli, kwamba hio tabia hujaielewa... halafu umsome reaction yake.
 
Si mlisema watoto wa 2000 wanatumika tu ? Mfano ndo huu

Ur too young for this dear kwann hujithamin? Unajipenda kweli? Unajionaje kana kwamba huna thaman yoyote kwenye mwili wako??
 
Anaeijua thamani yako ni wewe mwenyewe kwahiyo kama hakujali sidhani kama anakupenda, yupo nawe kwa sababu akikosa kwa wengine kwako ni chap.
 
Ukiwa nae umwambie ukweli, kwamba hio tabia hujaielewa... halafu umsome reaction yake.
Nilishamwambia anasema ni ubize tu… lakini mtu akiwa bize ila ukituma sms anakujibu chap sasa kila siku mimi ndio nimuanze na mimi nakausha basi ndio tunanuniana wiki
 
Si mlisema watoto wa 2000 wanatumika tu ? Mfano ndo huu

Ur too young for this dear kwann hujithamin? Unajipenda kweli? Unajionaje kana kwamba huna thaman yoyote kwenye mwili wako??
Kwaiyo nifanyaje mama mtu
 
Yaan miezi minne, alafu mmeshasex mara 2.

Mbona huyo jamaa hajui matumizi ya Kitumbua.
 
Hazimo kivipi ndugu kwamba mimi ni chizi.. ningejiona hazimo kama ningekuwa sijawahi kukutana na wanaume walionielewa na kunipenda kwa dhati… nishawah kupendwa kwa dhati na mtu so far Mungu akamtwaa

a
Kwani raha si mnapata wote na mnakojoa wote 🤣🤣 shida ni kwamba hakupi pesa nyoosha maelezo miaka 29 huyo Bado ana nyege za balehe we muache utafute anayehonga vizuri au kubali kuwa muuzaji akikuita na nyege zake muambie akupe pesa kwanza au kama anakukukuna vizuri endelea kumpa bure
 
Back
Top Bottom