Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Habari za siku wana JF,
Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya nilionayo kutokana na kua na watoto wengi na mama zao kua tofauti.
Siku tukawa tunachati nkamwambia napitia kwenye changamoto ya ukame wa papuchi nkamueleza na sababu za msingi zilizochangia japo nna mke, nkamwambia sa hivi nategemea punyeto tu, akawa ananishauri sio nzuri inaniharibu bora ntafute mchepuko adi mke wangu akae sawa, nkamwambia unaonaje ukanisaidia wewe akadai mi nna tabia mbaya so haniwezi,
Tumendelea mwishowe akakubali kwa sharti lazima tukapime na yeye hawezi sex na ndomu tukafanya hivyo, nkamwambia awe makini tu mi kwa sasa sitaki mtoto mwingine maana naona mzigo mzito na hali ya maisha kwa sasa akaapa hana mpango wa kuzaa watoto wake wawili wanamtosha, mmoja ana miaka 14 mwingine miaka 9 kwa hiyo hatoruhusu hilo litokee.
Baada ya kuingia kwenye mahusiano akajikuta ananipenda mazima na wivu juu, binafsi nilianza kuwaza kumpotezea baada kuona balaa lake ni zito yaani anataka hata kila siku tufanye akafikia kunipangia ratiba ikawa kwa wiki tunaenda mara 3 adi 4 gharama zitanishinda, tumeenda ivo adi mahusiano yetu yanafikia miezi minne ananiambia ana mimba akasema kaamua kwa kua ametokea kunipenda sana kaamua kunipa zawadi ya mtoto nkamkumbusha agizo langu akasema ndio ashaamua kwa niwe mpole tu nkamkatalia kua sipo tayari kwa hilo ndio akawa mkali na akadai yupo tayari kua hata mke wa 10 nkamkatalia lkn anafosi, yaani ni wale wanawake wenye masharti na hataki kupingwa anataka nitii tu anachotaka yeye,
Nikawa napunguza mawasiliano nae na lodge hatuendi tena hapo ndio kawa mkali na kuanza kunitishia maisha kama ntaendelea na maamuzi yangu ya kukataa mimba na kuvunja mahusiano,
Wiki ya pili hii anaitumia sms za vitisho tu kama ntaendelea na msimamo wangu litanikuta jambo na nisimlaumu.
Wadau embu nishaurini hapa maana sielewi cha kufanya kwa sasa.