Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

Heheh Nigga umepatikana..

Mkuu lea tu mtoto then yeye achana nae kabisa
 
Mambo ya kawaida boss, usiumize kichwa,,
Endelea kula mzigo ataacha vitisho. Kukata mawasiliano unakuwa unakuza mambo madogo.
Au nyau imeisha utam baada ya mimba? Au tafuta mchepuko mwingine halafu mgonganishe nao.
 
Hakuna kuumbwa ni kujiendekeza tu.. Mwenzio anaumwa ndio utoke nje, vipi we ungeugua akaenda kut....mbwa nje!? Si ungeng'aka wewe na kutaka kumchoma na gunia za mkaa, ukitaka kuwa mwanaume kamili lazima uweze kukontroo ndonga yako..

Umemkosea saana mkeo
Hataki kuskia lolote, na alishasema mapema hajawahi na hatowahi kutoa ila asichotaka yeye anahisi namwacha kizembe.
 
Hilo la kulea mtoto sana sana kwangu halikua tatizo kubwa maana kasema tutasaidiana wala hatonisumbua ni mimi niwajibike km baba pale atakapohitaji msaada wangu, lkn nyuma ya pazia nimetumia hili km kigezo kikuu ila kiukweli kasi yake ya kutaka kusex kila mara naona inanishinda, najiuliza na wife akirudi mzigoni na wanakaribiana kufanana mihemko itakuaje apo, na huyu msukuma ubaya wake hana ile sijui lini tuende, unashtuka tu kaja ofisini anakuambia kanipe ata kimoja au sms " utanikuta sehemu siwezi enda kulala bila kutiwa” yaani ni adicted wa ngono kiujumla na akitaka ukimyima kama yupo ofisini haondoki km ni sms atanuna balaa.
Yaani kiufupi ni hivyo hana kubembeleza yaani kwake ni km sheria na nilijitajidi kwenda nae sawa lkn huko mbeleni naona yatanishinda.
Hahahaha mkuu inaonekana huna maamuzi nauwezo wa kuamua.

Lakini nataka nikwambie kitu,
Mke wako anatakiwa kuwa wa kwanza kwenye kila kitu na hapaswi kulinganishwa na side chicks, japo najua kuna wanawake ni pasua kichwa, lakini naamini mke wako anastahili [emoji817] pontentials kutoka kwako. na ndio maana ulimuoa.

Otherwise ulikurupuka kuoa
 
Habari za siku wana jf,

Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya nilionayo kutokana na kua na watoto wengi na mama zao kua tofauti.

Siku tukawa tunachati nkamwambia napitia kwenye changamoto ya ukame wa papuchi nkamueleza na sababu za msingi zilizochangia japo nna mke, nkamwambia sa hivi nategemea punyeto tu, akawa ananishauri sio nzuri inaniharibu bora ntafute mchepuko adi mke wangu akae sawa, nkamwambia unaonaje ukanisaidia wewe akadai mi nna tabia mbaya so haniwezi,

Tumendelea mwishowe akakubali kwa sharti lazima tukapime na yeye hawezi sex na ndomu tukafanya hivyo, nkamwambia awe makini tu mi kwa sasa sitaki mtoto mwingine maana naona mzigo mzito na hali ya maisha kwa sasa akaapa hana mpango wa kuzaa watoto wake wawili wanamtosha, mmoja ana miaka 14 mwingine miaka 9 kwa hiyo hatoruhusu hilo litokee.

Baada ya kuingia kwenye mahusiano akajikuta ananipenda mazima na wivu juu, binafsi nilianza kuwaza kumpotezea baada kuona balaa lake ni zito yaani anataka hata kila siku tufanye akafikia kunipangia ratiba ikawa kwa wiki tunaenda mara 3 adi 4 gharama zitanishinda, tumeenda ivo adi mahusiano yetu yanafikia miezi minne ananiambia ana mimba akasema kaamua kwa kua ametokea kunipenda sana kaamua kunipa zawadi ya mtoto nkamkumbusha agizo langu akasema ndio ashaamua kwa niwe mpole tu nkamkatalia kua sipo tayari kwa hilo ndio akawa mkali na akadai yupo tayari kua hata mke wa 10 nkamkatalia lkn anafosi, yaani ni wale wanawake wenye masharti na hataki kupingwa anataka nitii tu anachotaka yeye,

Nikawa napunguza mawasiliano nae na lodge hatuendi tena hapo ndio kawa mkali na kuanza kunitishia maisha kama ntaendelea na maamuzi yangu ya kukataa mimba na kuvunja mahusiano,

Wiki ya pili hii anaitumia sms za vitisho tu kama ntaendelea na msimamo wangu litanikuta jambo na nisimlaumu.

Wadau em nishaurini hapa maana sielewi cha kufanya kwa sasa.
Uzoefu wote huo na kukubuhu juu, unahitaji ushauri gani hapa?
 
Hahahaha mkuu inaonekana huna maamuzi nauwezo wa kuamua.

Lakini nataka nikwambie kitu,
Mke wako anatakiwa kuwa wa kwanza kwenye kila kitu na hapaswi kulinganishwa na side chicks, japo najua kuna wanawake ni pasua kichwa, lakini naamini mke wako anastahili [emoji817] pontentials kutoka kwako. na ndio maana ulimuoa.

Otherwise ulikurupuka kuoa
Kwenye suala la maamuzi naamini niko vizuri mkuu, wife sina tatizonae tunaishi vizuri tu ila kwa huyu mchepuko ndio naona ananipanda kichwani kwa fujo hataki kukubaliana na maamuzi yangu adi anafikia kinitisha kama ntaendelea na msimamo wangu.
 
Uzoefu wote huo na kukubuhu juu, unahitaji ushauri gani hapa?
Huyu wa kisukuma kanikalia tofauti sana, hataki kuskia na wala haelewi anadai haachwi kizembe zembe [emoji3]
 
Kwenye suala la maamuzi naamini niko vizuri mkuu, wife sina tatizonae tunaishi vizuri tu ila kwa huyu mchepuko ndio naona ananipanda kichwani kwa fujo hataki kukubaliana na maamuzi yangu adi anafikia kinitisha kama ntaendelea na msimamo wangu.
"Peace was never an option"
Itakusaidia
 
One thing led to the other.

Kiutani utani tu kaweka ki zygote.
Ukame nilikua nao kweli lkn anafosi muendelezo wakati hayakua makubaliano yetu kabla ndio maana nkamueleza uchafu wangu wote ili akilini ajue kabisa mi mtu wa aina gani lkn haijasaidia kitu.
 
Ukame nilikua nao kweli lkn anafosi muendelezo wakati hayakua makubaliano yetu kabla ndio maana nkamueleza uchafu wangu wote ili akilini ajue kabisa mi mtu wa aina gani lkn haijasaidia kitu.
Ukitaka kusaidika funga zipu.

CV Yako mbaya haiwezi mtisha mwanamke aache kukuvulia chupi.

Huwa tunaamini we are able to change any man.

Kumbe wengine kama wewe ni sikio la kufa.
 
Ndugu yangu,na wanaume wengine mtakaopita hapa.

Mwanamke akikuambia tuzae nitalea au tutasaidiana ni uongo. Hakuna hiko kitu, unless muwe mna ugomvi na hamuongei au umekufa kama upo hai ni utalea tu.

Mwanamke anaweza lipia gesti ila kichanga kikija hiyo ni wewe tu taka usitake.
 
Back
Top Bottom