Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

Ananitishia maisha baada ya kukataa kumsaidia malezi na kusitisha mahusiano

Ndugu yangu,na wanaume wengine mtakaopita hapa.

Mwanamke akikuambia tuzae nitalea au tutasaidiana ni uongo. Hakuna hiko kitu, unless muwe mna ugomvi na hamuongei au umekufa kama upo hai ni utalea tu.

Mwanamke anaweza lipia gesti ila kichanga kikija hiyo ni wewe tu taka usitake.
Tunakuwaga tumewaekea mtego.
 
Ila Samboko unadinya balaa. Na kila unakodinya unaweka mimba.

Badilika Acha uboya utawatesa watoto.

Shubaaaamit.

Thread 'Ushauri wenu muhimu sana, maana nnakoelekea siko.' Ushauri wenu muhimu sana, maana nnakoelekea siko.
Lengo langu sio hilo la watoto lkn wenyewe wanaachia tu na wanafurahia, huu uboya umenishinda kuacha ila naamini ipo siku Mungu atanisaidia ntaacha
 
Ukitaka kusaidika funga zipu.

CV Yako mbaya haiwezi mtisha mwanamke aache kukuvulia chupi.

Huwa tunaamini we are able to change any man.

Kumbe wengine kama wewe ni sikio la kufa.
Hahahaaaaa, sijawa sikio la kufa banaa, najianika ili waniogope lkn wapi.
 
Ndugu yangu,na wanaume wengine mtakaopita hapa.

Mwanamke akikuambia tuzae nitalea au tutasaidiana ni uongo. Hakuna hiko kitu, unless muwe mna ugomvi na hamuongei au umekufa kama upo hai ni utalea tu.

Mwanamke anaweza lipia gesti ila kichanga kikija hiyo ni wewe tu taka usitake.
Kweli mkuu wengi wao, ila wapo wachache wanaoweza kutii agizo lao, nna shuhuda mbili za hao.
 
Ebu tafuta mwanamke mwingine urudie tena, yaani urudie tena, urudie tena maana inaonekana wewe huwezi kujifunza kutokana na makosa ya mwanzo, nasema ivi urudie tena
 
A man loves pussy until he meets his match!! Hii mara 4 kwa wiki imekutoa jasho! Mke nae akianza kutaka si utakuwa ni 7/7 hakuna mapumziko!?
Ugomvi kwenye mahusiano huanza pale sex inapopungua, we usipunguze kwa haraka kwa kuwa ushamzoesha. Nenda nae kidiplomasia zaidi mtafika tu.
 
Mbona rahisi hili? Anataka ukamrushe roho AKA ukamto$$$$mbe sasa tatizo liko wapi? Si umpe haki yake? Una watoto wangapi jumla? Kwa mke na wa nje ya ndoa?
Habari za siku wana jf,

Kuna dada mmoja kabila lake msukuma tulifahamiana kazini kwangu nkaanza kumtania na tukajenga urafiki kwa muda mfupi tukawa tunachati kiasi, katika kunipeleleza kwake nilimwambia ukweli wa maisha yangu kimahusiano idadi ya watoto nilionao akanisema kwa tabia mbaya nilionayo kutokana na kua na watoto wengi na mama zao kua tofauti.

Siku tukawa tunachati nkamwambia napitia kwenye changamoto ya ukame wa papuchi nkamueleza na sababu za msingi zilizochangia japo nna mke, nkamwambia sa hivi nategemea punyeto tu, akawa ananishauri sio nzuri inaniharibu bora ntafute mchepuko adi mke wangu akae sawa, nkamwambia unaonaje ukanisaidia wewe akadai mi nna tabia mbaya so haniwezi,

Tumendelea mwishowe akakubali kwa sharti lazima tukapime na yeye hawezi sex na ndomu tukafanya hivyo, nkamwambia awe makini tu mi kwa sasa sitaki mtoto mwingine maana naona mzigo mzito na hali ya maisha kwa sasa akaapa hana mpango wa kuzaa watoto wake wawili wanamtosha, mmoja ana miaka 14 mwingine miaka 9 kwa hiyo hatoruhusu hilo litokee.

Baada ya kuingia kwenye mahusiano akajikuta ananipenda mazima na wivu juu, binafsi nilianza kuwaza kumpotezea baada kuona balaa lake ni zito yaani anataka hata kila siku tufanye akafikia kunipangia ratiba ikawa kwa wiki tunaenda mara 3 adi 4 gharama zitanishinda, tumeenda ivo adi mahusiano yetu yanafikia miezi minne ananiambia ana mimba akasema kaamua kwa kua ametokea kunipenda sana kaamua kunipa zawadi ya mtoto nkamkumbusha agizo langu akasema ndio ashaamua kwa niwe mpole tu nkamkatalia kua sipo tayari kwa hilo ndio akawa mkali na akadai yupo tayari kua hata mke wa 10 nkamkatalia lkn anafosi, yaani ni wale wanawake wenye masharti na hataki kupingwa anataka nitii tu anachotaka yeye,

Nikawa napunguza mawasiliano nae na lodge hatuendi tena hapo ndio kawa mkali na kuanza kunitishia maisha kama ntaendelea na maamuzi yangu ya kukataa mimba na kuvunja mahusiano,

Wiki ya pili hii anaitumia sms za vitisho tu kama ntaendelea na msimamo wangu litanikuta jambo na nisimlaumu.

Wadau em nishaurini hapa maana sielewi cha kufanya kwa sasa.
 
A man loves pussy until he meets his match!! Hii mara 4 kwa wiki imekutoa jasho! Mke nae akianza kutaka si utakuwa ni 7/7 hakuna mapumziko!?
Ugomvi kwenye mahusiano huanza pale sex inapopungua, we usipunguze kwa haraka kwa kuwa ushamzoesha. Nenda nae kidiplomasia zaidi mtafika tu.
Inanitoa jasho kwa vingi, gharama na pia kwa kasi aliyonayo na tabia yake nikimjengea mazira mazuri atakuja nipa tabu huko baadae, mi ni m'bishi sijashindwa ila madhara yake baadae makubwa nna uzoefu sana na viumbe wa namna hii ukimzoesha sana siku akikosa hata km Kuna sababu ya msingi ni ugomvi.
 
Mbona rahisi hili? Anataka ukamrushe roho AKA ukamto$$$$mbe sasa tatizo liko wapi? Si umpe haki yake? Una watoto wangapi jumla? Kwa mke na wa nje ya ndoa?
Kasi yake ni wale wenye kichaa cha ngono, kadri unavyozidi kumwashia moto kwa kuhisi moto wa jana mdogo ndio hamu yake kwa kesho inazidi, unam'buruza anamwaga adi anazima unamtoa nje umemshikilia anapepesuka akifika nyumbani nguvu zikirudi anataka tena, usiombe mkuu,

Kwa mke wa4 na 7 wa nje na nimemwambia hili kabla lkn haikusaidia kitu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bado hili ni rahisi mno kuliko yeye kuzua tafrani kwenye ndoa yako labda kama umemchoka mkeo.

Back
Top Bottom