Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuandika neno kuwatapeli hapo unaongelea tapeli na sio mpenzi.. mtu kama ni mpenzi/ mume wako unamtapeli vipi pesa? Na mwanaume akipenda kweli wala hakumbushwi wajibu wake.. atafanya bila kusukumwa.
Ni ukweli Huwa hatuwez japo sometimes mnalegalega tunatumia mwaya kujifanya tunaweza lkn sie tunawahutaji sana nyie na ela zenu mtutunze hata km sio Kwa kiwango cha mamilion lkn hata Kwa kidogo unachojaaliwa
Kabisa umemaliza mwanaume akipenda Yuko proud kuprovid Kwa mwanamkewake kwanza ndio inawapa confidence sanaKuandika neno kuwatapeli hapo unaongelea tapeli na sio mpenzi.. mtu kama ni mpenzi/ mume wako unamtapeli vipi pesa? Na mwanaume akipenda kweli wala hakumbushwi wajibu wake.. atafanya bila kusukumwa.
Na kwa mwanamke anaejitambua kama hajavutiwa na mwanaume huwa hatoi nafasi ya kuwa nae wala kutaka kitu chake.. hao wasiovutiwa na wanaume na bado wanapokea na kuomba pesa wawekwe fungu lao na usiwajumuishe na wanawake wanaoelewa thamani ya mtu katika mahusiano waliyonayo
Endelea utapata chetiHuyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
View attachment 3183864
Unatongoza mwanamke msimu wa sikukuu unategemea nini???Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
View attachment 3183864
Hio totoz ni kwerekwechevijana tafuteni hela acheni kulialiaa ...mwenzenu nipo naenjoyyy holiday apaa na totoz za mjinii
View attachment 3183872
Kama ushapiga ngozi basi piga chini.Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
View attachment 3183864
Mahusiano ya sasa yanachangamoto kubwa. Kila mtu amekaa kimaslahi na wengine wamekaa standby wanahisi kupigwa matukio.Huyu demu nimemtongoza hata wiki mbili hakuna tayari matatizo Yake yote ya kifedha amenipa Mimi Leo hili Kesho kile Sasa nimechoka nimeona nimuambie ukweli
View attachment 3183864