Anaomba ushauri, tabia za mumewe zinamchanganya

Kiukwel wanaume tupo wabkariba mbali mbali amuxoee tu hata Mimi nipo hivyo Kuna muda naambiwaga Nina nuna
We ungepata Kisiran Kama Mimi ukinuna Mimi ni Mara mbili yako, ungefurahia shoo
 
Tena wanawake wakiwa na ujauzito ndio wanakuwa na kero za kilanamna.
Pengine huo ujauzito ndio unamfanya mke awe hivyo.

Anajikuta anataka muda wote awe karibu na mumewe waongee, hamu ya kugegedwa inaongezeka pia. Au mwingine inakuwa kinyume chake yani anakuwa anakuchukia sana. Hadi mke akijifungua ndio hiyo hali nayo hutoweka.
 
Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida Sana
1) jamaa mkimya Sana akiamka asubuh Salam anaaga anaenda kazini akirudi Salam anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni anaongea tu vizuri na kucheka

2.ndani hakuna kukaa kupanga labda maendeleo tufanye hiki ...jamaa anakazi na bidada anakazi,,, jamaa akipanga kufanya lake anafanya bila kumshirikisha bidada
Inampa shida bidada sababu nayeye akipata mshahara anashindwa achangie vp mfano ujenzi au maendeleo ya ndani anaishi kununua vitu let say vya ndani anataman wapange pamoja washirikiane ujenzi na maendeleo kwa pamoja

3) sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana ...kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja

Bidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu Sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri
Mkuu mbna unazunguka! Semeni kuwa ni wewe ndo unae tendewa haya
 
Duh! Ongea naye kwa kituo ikishindikana washirikishe wazazi wa pande zote mbili ili wawasaidie.

Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida Sana
1) jamaa mkimya Sana akiamka asubuh Salam anaaga anaenda kazini akirudi Salam anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni anaongea tu vizuri na kucheka

2.ndani hakuna kukaa kupanga labda maendeleo tufanye hiki ...jamaa anakazi na bidada anakazi,,, jamaa akipanga kufanya lake anafanya bila kumshirikisha bidada
Inampa shida bidada sababu nayeye akipata mshahara anashindwa achangie vp mfano ujenzi au maendeleo ya ndani anaishi kununua vitu let say vya ndani anataman wapange pamoja washirikiane ujenzi na maendeleo kwa pamoja

3) sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana ...kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja

Bidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu Sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri
 
Ndoa zina changamoto nyingi sana,muhum ni kukwepa kuwa stressed,maana afya na uhai wako vitakuwa hatarini...
 
Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida Sana
1) jamaa mkimya Sana akiamka asubuh Salam anaaga anaenda kazini akirudi Salam anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni anaongea tu vizuri na kucheka

2.ndani hakuna kukaa kupanga labda maendeleo tufanye hiki ...jamaa anakazi na bidada anakazi,,, jamaa akipanga kufanya lake anafanya bila kumshirikisha bidada
Inampa shida bidada sababu nayeye akipata mshahara anashindwa achangie vp mfano ujenzi au maendeleo ya ndani anaishi kununua vitu let say vya ndani anataman wapange pamoja washirikiane ujenzi na maendeleo kwa pamoja

3) sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana ...kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja

Bidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu Sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri
Hio ndoa walipangiwa?au walifunga kwa hiyana zao?nilivyoelewa mpaka sasa huyo mume hana imani na mke wake asilimia mia na ndio maana pia hamshirikishi kwenye masuala yale.

Wanaume wengine hawapendi kuongea inawezekana kuna kitu kinamtatiza jamaa kwahio ampe nafasi na muda ili ajenge imani nae na atafunguka kwake.

Hela yake bidada anaweza kuweka akiba bank na inaweza kutumika kusaidia mambo mengine baadae au na yeye aanzishe mradi wake ajenge!

Since hakuwa na muda wa kujuana vyema na mwenza wake huu ndio wakati muafaka ajifunze na amsome mwenzake tabia ajue yupo na mume wa aina gani

Kuhusu tendo la ndoa sio lazima mpaka yeye aguswe hata yeye mke anaweza kuinitiate. Kama amemgusa amekataa hilo ni suala jingine!
Ila kama ana ujauzito unaweza kumuathiri mwanaume pia.Na mwanamke akiwa mjamzito anabadilika maumbile na wengine hata kupoteza haiba zao so namshauri awe mvumilivu.
 
Mdau (ke) yupo ndani ya ndoa kwa mwaka 1 Ila tabia ya mme wake inampa shida Sana
1) jamaa mkimya Sana akiamka asubuh Salam anaaga anaenda kazini akirudi Salam anakaa kimya anakula ataangalia mpira kimya badae kulala ata bidada akimsemesha anajibu tu short then kimya Ila akija mgeni anaongea tu vizuri na kucheka

2.ndani hakuna kukaa kupanga labda maendeleo tufanye hiki ...jamaa anakazi na bidada anakazi,,, jamaa akipanga kufanya lake anafanya bila kumshirikisha bidada
Inampa shida bidada sababu nayeye akipata mshahara anashindwa achangie vp mfano ujenzi au maendeleo ya ndani anaishi kununua vitu let say vya ndani anataman wapange pamoja washirikiane ujenzi na maendeleo kwa pamoja

3) sex inaweza pita wiki or wk 2 hawajapeana ...kwa Sasa bidada mjamzito miez 4 hajaguswa tangu ujauzito una mwezi mmoja

Bidada inamchanganya japo jamaa anahudumia vizuri familia, hawakukaa mda mrefu Sana kwenye uchumba so hakumsoma vizuri
Jamaa alikuwa na tabia hiyo hiyo wakati wanaanza mahusiano yao au tabia imekuja kubadilika sasa .
Inawezekana jamaa amekuja kugundua vitu kadhaa wa kadhaa cha bidada hivyo , hiyo ni hatua ambazo jamaa kachukua kuonyesha kama mambo hayako sawa au kama yalivyokuwa kuwa hapo awali
 
Back
Top Bottom