Anaomba ushauri, tabia za mumewe zinamchanganya

Kiukwel wanaume tupo wabkariba mbali mbali amuxoee tu hata Mimi nipo hivyo Kuna muda naambiwaga Nina nuna
We ungepata Kisiran Kama Mimi ukinuna Mimi ni Mara mbili yako, ungefurahia shoo
 
Tena wanawake wakiwa na ujauzito ndio wanakuwa na kero za kilanamna.
Pengine huo ujauzito ndio unamfanya mke awe hivyo.

Anajikuta anataka muda wote awe karibu na mumewe waongee, hamu ya kugegedwa inaongezeka pia. Au mwingine inakuwa kinyume chake yani anakuwa anakuchukia sana. Hadi mke akijifungua ndio hiyo hali nayo hutoweka.
 
Mkuu mbna unazunguka! Semeni kuwa ni wewe ndo unae tendewa haya
 
Duh! Ongea naye kwa kituo ikishindikana washirikishe wazazi wa pande zote mbili ili wawasaidie.

 
Ndoa zina changamoto nyingi sana,muhum ni kukwepa kuwa stressed,maana afya na uhai wako vitakuwa hatarini...
 
Hio ndoa walipangiwa?au walifunga kwa hiyana zao?nilivyoelewa mpaka sasa huyo mume hana imani na mke wake asilimia mia na ndio maana pia hamshirikishi kwenye masuala yale.

Wanaume wengine hawapendi kuongea inawezekana kuna kitu kinamtatiza jamaa kwahio ampe nafasi na muda ili ajenge imani nae na atafunguka kwake.

Hela yake bidada anaweza kuweka akiba bank na inaweza kutumika kusaidia mambo mengine baadae au na yeye aanzishe mradi wake ajenge!

Since hakuwa na muda wa kujuana vyema na mwenza wake huu ndio wakati muafaka ajifunze na amsome mwenzake tabia ajue yupo na mume wa aina gani

Kuhusu tendo la ndoa sio lazima mpaka yeye aguswe hata yeye mke anaweza kuinitiate. Kama amemgusa amekataa hilo ni suala jingine!
Ila kama ana ujauzito unaweza kumuathiri mwanaume pia.Na mwanamke akiwa mjamzito anabadilika maumbile na wengine hata kupoteza haiba zao so namshauri awe mvumilivu.
 
Jamaa alikuwa na tabia hiyo hiyo wakati wanaanza mahusiano yao au tabia imekuja kubadilika sasa .
Inawezekana jamaa amekuja kugundua vitu kadhaa wa kadhaa cha bidada hivyo , hiyo ni hatua ambazo jamaa kachukua kuonyesha kama mambo hayako sawa au kama yalivyokuwa kuwa hapo awali
 
Na tuishi hivyo hivyo atakavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…