figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Sasa ni muda kamba zote zifupishwe ili wasiendelee kutafuna noti zetu.Pesa za mama zimeyeyuka ghafla 😂
Kwa huyu tumepigwa kabisa. Kila mtu nikimuona anamsifia Huwa naona Hana akili timamuKila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk.
Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ninkutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni.
Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
Wahusika walijikanyaga , how on earth tumefika hapa?Kwa huyu tumepigwa kabisa. Kila mtu nikimuona anamsifia Huwa naona Hana akili timamu
Dunia hii hutakije competition,wakati hata sisimizi,mchwa,siafu wote wanashindana ili maisha yawe boraa?Hawezi competition
Kapo kakideo ka boda,baiskeli,bajaji na toyo imasema 107 ya Ntu.Ambatanisha na kavideo
Wahusika ni akina nani?Wahusika walijikanyaga , how on earth tumefika hapa?
Wahusika wa wapi..taifa hili ni la watanzania wote, hakuna mtu au kikundi kinamiliki utashi wa wengine wote, km kuna kosa limefanyika tukafika hapa, sote tumechangia hali hii..!Wahusika walijikanyaga , how on earth tumefika hapa?