The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Pelekeni watoto shuke jamani
Yes kuna watu wali enable hili kutokea and we know them, but kama taifa ni waoga ku point out , why kama taifa tunaogopa chombo tulichokichagua wenyewe?Wahusika wa wapi..taifa hili ni la watanzania wote, hakuna mtu au kikundi kinamiliki utashi wa wengine wote, km kuna kosa limefanyika tukafika hapa, sote tumechangia hali hii..!
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
Hataki kudaiwa wakati kuna deni la mama!
Muimba taarabu mtupu.Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk.
Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla?
Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3373422
View attachment 3373424
Ni muoga wa challenge balaa.Kama wasingemfunga Lisu angepata tabu sana majukwaaniHawezi competition
Sijaelewa hapo,inaweza kuwa ni miongoni mwa vilaza ambao hatukubahatika kupelekwa shule,hata kayumba achilia mbali mabasi ya njano.Pelekeni watoto shuke jamani
Akina nani?Kuna watu mna roho mbaya sana😢🤣
Kawaida kuanzia shule,watoto wenye fujo wanaanza kujulikana,na inafika mahali hata walimu na ukaliwote wanasema huyu wa hivi hivi,iweje walio kua hiyo ama mazingira yao yaliwaruhusu kukua hivyo?Jamaa ana fujo sana hazijapendwa😀
Shule ni tofauti, hapa anajichukulia umaarufu wa bosi.Kawaida kuanzia shule,watoto wenye fujo wanaanza kujulikana,na inafika mahali hata walimu na ukaliwote wanasema huyu wa hivi hivi,iweje walio kua hiyo ama mazingira yao yaliwaruhusu kukua hivyo?
HahahaShida kaenda amejiandaa kumsema vibaya kaka yangu Luhaga Mpina.
Pesa za " Mama" wana kisesa wanazitaka wafanye maendeleo.