Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Yes kuna watu wali enable hili kutokea and we know them, but kama taifa ni waoga ku point out , why kama taifa tunaogopa chombo tulichokichagua wenyewe?
Kuna chombo kina ridhaa ya kutuamulia watanzania wote ili sisi tuendelee na mambo yetu? halafu wakikosea sote tunalipa gharama ya makosa yao..?
 
Back
Top Bottom