Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk.

Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla?

Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3373422
View attachment 3373424
View attachment 3374936
Rekodi za kiserikali ni za kupika hazina uhalisia. Hapo alipo anahutubia kabla haja fika palikuwa ni pa chafu lakini kwa kuwa hajiongezi kwamba anadanganywa na kuanza kumshambulia kiongozi aliyechaguliwa na wananchi. Kwa hiyo anaridhika na umbeya anaopelekewa na akina msomali na chiembe ambao wamekubuhu kwa uongo, chuki na uzandiki?
 
Wahusika wa wapi..taifa hili ni la watanzania wote, hakuna mtu au kikundi kinamiliki utashi wa wengine wote, km kuna kosa limefanyika tukafika hapa, sote tumechangia hali hii..!
Kikwete alisema, "...tukiona anafaa tutamptitisha tena. ".
Ikiwa kama mliona anafaa usijumuishe na walsiohesabiwa kwenye pikipiki na baiskeli
 
Ningekua mimi ndio bibi wala nisingejibu vile,lkn tumeanza kuzoea kwa sababu Gwaj boy ilianza hivi hivi, Mpina jiandae ssm hawakutaki na aliyeyatamka ni alfa na omega sasa hata sijui utakwenda chama gani
Uzuri wa Mpina wakati Unafiki na uchawa unazaliwa tayali alikua amepevuka na ndio maana anashindwa kwenda na upepo
 
Jamani Tik tok mbona inamwaga radhi haifungiwi? Tuliyoyaona yanatosha jamani
 
Back
Top Bottom