Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo anachoweza ni kuchambana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo anachoweza ni kuchambana
We lukasi katika wanyiha wajinga wewe namba moja....Acheni ujinga wenu hapa
Wananchi wamekaa kimya hawajamshangilia 😂😂😂Mi mwenyewe nimeshangaa sana. Anayotaka kusifiwa nayo ndiyo hayo Mpina kayaomba mbele yake.
Badala ya kumpa au hata kumzuga kwa ahadi kuwa atampa akaamua kuchimba bit na kujaribu kumdogosha..kaonesha kiwango cha chini sana cha uelewa
Kuna mnafiki moja anapiga makofi hapo lkn hajishtukii hata wenzie hawamsaportKila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk.
Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla?
Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3373422
View attachment 3373424
Ushasema machawa maana yake wanahimili uchafuWale machawa wa mama kajenga mama kaleta mama mama mama mama mama hana deni mama mama mama sjui sura zao wataficha wapi
Mbona tumewapeleka na sasa no bodaboda, wauza bar na machinga au tuwapeke Veta?Pelekeni watoto shuke jamani
Umetumwa!!Akina nani?
Umepewa za uso🤣Acheni ujinga wenu hapa
Afisa usalama mitandaoni 🤣🤣🤣🤣Naona bwana Melo ameamua kuacha watermark Yake hapo ya kucheka 😂 Ngoja afukuzwe kazi akionekana anaunga mkono mama kusemwa mtandaoni wakati yeye ameajiriwa kuyazuia haya
View attachment 3373766
Kwani huko hakuna utaalam wa kufanya hivyo?Natamani aanguke jukwaani na asiamke tena
Tena anavyoongea Kama ni maagizo wasimchague Tena kwenye kula za maoni. Siyo mbunge wa kisesa Bali wa taifa awe mmoja wa wale wabunge wangu kumi. KitukoMi mwenyewe nimeshangaa sana. Anayotaka kusifiwa nayo ndiyo hayo Mpina kayaomba mbele yake.
Badala ya kumpa au hata kumzuga kwa ahadi kuwa atampa akaamua kuchimba bit na kujaribu kumdogosha..kaonesha kiwango cha chini sana cha uelewa
Amewaka alitegemea ataambiwa hadaiwiBibi kafura!
Huyu mama ni empty, kila akipanda jukwaani yeye ni mipasho tu🚮Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk.
Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla?
Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3373422
View attachment 3373424