Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Naona bwana Melo ameamua kuacha watermark Yake hapo ya kucheka 😂 Ngoja afukuzwe kazi akionekana anaunga mkono mama kusemwa mtandaoni wakati yeye ameajiriwa kuyazuia haya

Screenshot_20250617-232840.png
 
Kila siku anajinasibu kwamba yeye ndo anatoa hela. Na kila mtu kaaminisha yeye ndo anajenga madaraja, Shule, barabara nk.

Sasa leo kaombwa barabara live akawa mkali. Akasema ukimuomba ni kutaka sifa kwani unatakiwa uombe Bungeni. Kwani hela za Mama zimeisha gafla?

Nimeshangaa sana🤣🤣🤣🤣
View attachment 3373422
View attachment 3373424
Ku prove na kuthibitisha... Mwisho wa kunukuu!
Kwani hela za Mama zimeisha gafla?
 
Back
Top Bottom