Anasema yeye ndo anatoa hela, leo kaombwa hela live kawa Mkali

Wahusika wa wapi..taifa hili ni la watanzania wote, hakuna mtu au kikundi kinamiliki utashi wa wengine wote, km kuna kosa limefanyika tukafika hapa, sote tumechangia hali hii..!
Yes kuna watu wali enable hili kutokea and we know them, but kama taifa ni waoga ku point out , why kama taifa tunaogopa chombo tulichokichagua wenyewe?
 
Muimba taarabu mtupu.
 
Jamaa ana fujo sana hazijapendwa😀
Kawaida kuanzia shule,watoto wenye fujo wanaanza kujulikana,na inafika mahali hata walimu na ukaliwote wanasema huyu wa hivi hivi,iweje walio kua hiyo ama mazingira yao yaliwaruhusu kukua hivyo?
 
Kawaida kuanzia shule,watoto wenye fujo wanaanza kujulikana,na inafika mahali hata walimu na ukaliwote wanasema huyu wa hivi hivi,iweje walio kua hiyo ama mazingira yao yaliwaruhusu kukua hivyo?
Shule ni tofauti, hapa anajichukulia umaarufu wa bosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…