Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Utofauti chief upo sana, vitoto vyenyewe vinapenda sana kiongozi. Ila Sheria ililenga kuwalinda maana wangehalalisha hivi vitoto mimba za utotoni zingekuwa Lukuki. Pia ustawi wa jamii ungeharibika sana. Sheria ikawekwa ili kuwalinda watoto wa kike.
Hivi unajua vitoto vingi sana vinapitia hali hii ni mara chache sana kama hivi habari zinavuja ila visa vingi havijulikani au huwa haviripotiwi.

Idadi ya wanaopitia hali hii ni nyingi kuliko ambao sheria inawalinda
 
Huyo David inapenda K zinazobana eeh??
Mbona majimama yamejaa kila kona tena bure bure kabisa.
Jela inamhusu kwa uharibifu wake.
 
Kama pamoja na uwepo wa Sheria vinapigwa Kwa speed hiyo, fikiria isingekuwepo Sheria, ingekuwa hatari kiongozi.

Visa ni vingi sana na vingine vinamalizwa na wazazi wenyewe.
Nataka nianzishe petition ya kuboresha sheria ya katoto kalichanua kenyewe vs katoto kaliingiliwa bila kupenda hukumu kwa wahusika ziwe tofauti katika hali hizo mbili
 
Kama nimesoma vizuri ni kuwa Simu ya mbakaji Ina Picha alizokuwa anajipiga na hako katoto?
Kwenye post ya kwanza sijaliona hilo la picha wala kwenye video hilo halijasemwa.

Swala la kwamba mtoto alienda saa tano kuchukua simu kwenye chumba cha mtu mzima hilo halina uzito.

Jaribu kugeuza shilingi uangalie upande wa pili pia...

Assume, huyo dada wa huyo mtoto angekuwa kwenye matatizo na huyo mtoto akafanya kama alivyofanya ili atumie simu ya huyo jamaa kuomba msaada wa kumsaidia dada yake, wewe unadhani Ingekuwa vipi hapo? Jamaa angeitiwa polisi na vyombo vya habari kwa kuazimwa simu na mtoto ili afanye mawasiliano...?

Na isitoshe, kuikusanya hiyo timu iliyoenda kwa jamaa kwa kigezo cha mtoto kukutwa na simu isiyo yake haiingii akilini.

Kwa kifupi kuna mambo mengi naona hayako sawa kwenye hilo tukio.
 
Jamaa anaweza kuwa alikuwa ananipigia kweli huyo binti, sema mpango wao umefeli, binti alienda kuazima simu akadhani kuwa jamaa atashoboka tena ili aingiziwe propela, lakini jamaa akampatia tu bnt hiyo cm, ye akabaki kalala, hao nao wakakusanyana kwa kuchelewa,
MPANGO WA DADA MTU, NA DC UMEFELI

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ivi jamani vitu vingine ndo mana kunahitajika uchunguzi mana kwanza huyo dogo wa 12 yrs looks like my mom Yani anaonekana mkubwa kuliko dada hapa Kwa dada mtu kuna jambo anaweza ikawa ana wivu na jamaa tu
 
Mkuu hichi kitu nikweli kabsa Kuna hata mzee flan Ni lecture yalimkutaga jambo tena na wanafunzi hawa Hawa Mpaka Sasa Hana hamu nao na hathubutu hata kusalimia ma dent Sasa, kibongobongo ukiwa na roho nzuri na ukiwa na hela wanataka kutake advantage Ili tu uteseke na wakuchukulie Mali zako hivo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Pm nilifunga muda na sina shida ya mwanaume

Nataka nikamtumikie Mungu nirudi km alivyoniumba, naenda shirikani mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Swadakta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…