Hiyo kazi ya polisi kuweka mtego na kumshika mtuhumiwa hakukuwa na haja ya mkuu wa wilaya kwenda kutafuta cheap politics hizoo wakati wilaya ina matatizo kibao...Ulitaka aje kukufumania wewe? Wewe majukumu ya mkuu wa wilaya unayajua?
Akifanya kazi za karibu na jamii mnaponda, asipofanya mnaponda. Wabongo walalamishi sana
Ina dhamana jifunze wewe... Labda kuwe na Sababu nyingine lkn dhamana anapata vizuri tuAcha kudanganya watu, kesi ya ubakaji haina dhamana mpaka siku ya hukumu au mahakama itamke hauna kesi ya kujibu.
Mayasa gani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nikapambane na akina Mayasa na gono lililopoa kwani nitaenda kupima na kunywa Cipro-Denk na sio kuhangaika na wanafunzi under 18
Shame on him
Fool of a took
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DC km DC.Hapo chacha mkuu wa wilaya anaongea kwa niaba ya mkuu wa wilaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasikukaushe damu njoo tulale baby [emoji3059][emoji3059]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kazi ipo wallahMganga kaoa jimama lina fweza, mshauri wa ndoa Diva sasa ndio inabidi mumshauri yeye.
Bongo vituko haviishi.
Kabla ya kuvunja ungo.Baada ya kuvunja ungo aisee yabid waache maana hata magonjwa nje nje
Wapiii huko??Vitoto huko vinaanza kutmbn wakiwa wadg sana....
Vitoto huko kuruka na watu wazima si jambo geni huko
Sijui huyu jamaa alinasanasa vp mpaka kumalizwa..
Ova
Mayasa gani?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DC km DC.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiiiItakua yule wa bongo movie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeeeee hatari mnooooKabla ya kuvunja ungo.
Ndo hivyooEeeeee hatari mnoooo
Sijaongelea dhamana jifunze kusoma na kuelewa ,nimesema due procedure , hayo ni mambo mawili tofauti Sana , bila due procedure, any infringement in evidentiary law is a ground tena strong Sana kuangusha kesi ....nimesema mnipe number sio kuongea mambo usiyoyaelewaAcha kudanganya watu, kesi ya ubakaji haina dhamana mpaka siku ya hukumu au mahakama itamke hauna kesi ya kujibu.
Hili swala siyo huko tu hata Dar lipo sana sema matukio hayajurikani.Vitoto huko vinaanza kutmbn wakiwa wadg sana....
Vitoto huko kuruka na watu wazima si jambo geni huko
Sijui huyu jamaa alinasanasa vp mpaka kumalizwa..
Ova
Mbona hii kesi ndogo hvi ,hapo nipeni namba za ndugu za huyo dogo wiki mbili yupo nje tena namwakilisha mwenyewe for free .
Kisheria Kuna mambo mengi hapo yanaflows ,beyond reasonable doubt in criminal cases na wakili mzuri hufungwii.
Me wengi jela wanafungwa kwa kutojua due procedure