Bwana Bima
JF-Expert Member
- Jul 29, 2014
- 429
- 929
Watu mnashangaa mtoto wa miaka 12! Mi nishashuhudia mtoto ana miaka 14 tu ana watoto wawili. Imagine ngono alianza akiwa na umri gani mpk kuja kuanza kuzaa na sio kwamba kaolewa ila anazaa then mwanaume analea. Dunia imeharibika sana.
Kuna haja wazazi kuanza kuwafundisha watoto elimu ya ngono mapema kabisa japo kibongobongo wanona kuwafundisha ndo kuwaharibu...! Shame to us! Wazazi wengi ambao wamewasaidia mabinti zao mapema wengi wametimiza ndoto zao