Anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kukutwa na mwanafunzi chumbani kwake saa tano usiku

Sijapenda walivyomchukua na makamera tena Azam tv live..kwani wangemkamata kimya kimya wangepungukiwa nini? Maana mpk sura ya mtoto tumeiona.

Japo amefanya vibaya ni lazima awajibishwe ila sikuona haja ya makamera
Umeiona wapi?
 
ooho huyu kayakanyagaa.... wanafunzi sio aisee mpaka mkuu wa wilaya kamtimbia jamaa hatoki sema mwana mwili kaujengaa geto lile hakosii kulaa pisiii mpaka bhasi mkoani huko hata hawapendi hela sanaa.. sasa huyu kajichanganya wapi sijui
Ina maana dada mtu alipofika:

Kwanza Binti hakua ndani kwa mshikaji. Alikutwa nje tu na simu ya jamaa.

Si umeona hata kwenye video wakati jamaa wanaingia ndani swali la kwanza ni "huyu Binti yuko wapi?"

Kwahiyo dada mtu alipata wapi muda wa kuwaita polisi na Mkuu wa wilaya ndani ya muda mfupi hivo?

Kumbuka kosa la jamaa kumuazima Binti simu yake. Yaani Binti hajakutwa ndani kwa jamaa. Kakutwa nje na dada yake kashika simu ya jamaa.

Hii kesi wewe unaonaje? Mbona ina maswali mengi hayana majibu?

Ama jinai yake ni kumuazima mwanafunzi simu usiku?

Maoni yako?
 
Huko lazima kuna shida Sana ya kipato

Hivi kesi ikienda mahakamani na Binti akashikilia msimamo wake kuwa hajawahi kugongwa na mshikaji, bado jamaa atahukumiwa?
 
Back
Top Bottom