Mpaka muda muda huu SI Lucas Mwashambwa Wala chiembe waliojitokeza kujibu lissu amebonda utosini1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.
Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.
Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Nafuu abaki kimya otherwise ataharibu zaidi
hakuna ambacho kitabadilika kwa kelele na malalamiko yenu, ukiona wanafanya jambo ni kwa faida zao za kisiasa1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.
Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.
Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Asafishe nini?1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.
Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.
Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Mnaongeaaa,mbona watu kibao kutoka bara wana nyumba zanzibar, mnaaminishwa ,na kila anayesema hili muulize yeye kama yeye aliwahi kutaka akanyimwa?? Jibu hana atakwambia wanasema,sasa wanasema na wewe unadakia kitu usichokuwq na uhakika nachoInawezekana vipi MZANZIBARI
Anaweza kupata ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kujenga Zanzibar
MZANZIBARI anaweza kuwa Rais Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kuongaza Zanzibar Kwa cheo chochote lakini Tanganyika wapo tele
Idadi ya wa Zanzibar waliopo kwenye vyombo Cha ulinzi na usalama ni kubwa kwauwiano wa idadi ya watu Zanzibar na Tanganyika,. Me hayo yote hatuyaoni au tumejizima data.
Ndio maana akanyooka yeye.Asafishe nini?
Hakuna mtu aloye serious ataacha kuchapa kazi aje kubishana na mental case
Ndio maana magu alikua anawanyoosha mkakosa pa kupumulia
Mh kawapa uhuru, mnautumia vibaya
Ndo maana kuna wasaidizi watajibu hizo hoja sababu hazihatarishi usalama wa nchi1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.
Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.
Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Mange analo ji u sahihi1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.
Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.
Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Samia hajawahi ondoshwa kwenye reli mtaropoka weee na mwisho wa siku mtakausha na hakuna kilichobadikika cc DP World,Masai nk.1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kupanga kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm.
Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.
Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Inashangaza Hadi Leo hii watu wazima hama akili ya kusoma saikolojia ya Samia.Labda Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable waje kutetea hoja, si wanalipwa kwa kazi hiyo bwana. Ila kama ni yeye hawezi.
Hakuna cha vinginevyo ndo hivyo hivyo yaani!!Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Pia na wewe wasema.Mnaongeaaa,mbona watu kibao kutoka bara wana nyumba zanzibar, mnaaminishwa ,na kila anayesema hili muulize yeye kama yeye aliwahi kutaka akanyimwa?? Jibu hana atakwambia wanasema,sasa wanasema na wewe unadakia kitu usichokuwq na uhakika nacho