Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

Samia hajawahi ondoshwa kwenye reli mtaropoka weee na mwisho wa siku mtakausha na hakuna kilichobadikika cc DP World,Masai nk.

Samia Huwa hakurupuki na Wala Huwa haendeshwi na mihemko,inashangaza Hadi Leo hii hamjajua saikolojia yake.
Bora kuendeshwa na mihemko yako kuliko kuendeshwa tu na watu.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Raisi ana taratibu zake,vuta subira mkuu utapata majibu...
Hakuna cha taratibu, kwani kaanza leo kuogopa kusema? Suala la DPWorld aliufyata kujibu hoja zake mpk leo.
 
Samia hajawahi ondoshwa kwenye reli mtaropoka weee na mwisho wa siku mtakausha na hakuna kilichobadikika cc DP World,Masai nk.

Samia Huwa hakurupuki na Wala Huwa haendeshwi na mihemko,inashangaza Hadi Leo hii hamjajua saikolojia yake.
Mitini...
 
Bora kuendeshwa na mihemko yako kuliko kuendeshwa tu na watu.
Samia haendeshwi na mihemko Wala watu,anaendelea na falsafa yake ya kukaa kimya kama alivyosema wakati wa dp World.

Rukeni rukeni kama vyura mkichoka mtatulia na mtaendeoea kumuona ofisini Hadi 2030 😆😆
 
Kukaa kimya ni bora kwake maana huwa akisema aongee unaweza ukajiuliza kama huyo anayeongea ndio yeye Rais wa nchi kweli au si yeye, sijawahi kuona jambo ambalo amelizungumzia kama rais wa nchi likaeleweka zaidi ya kutia mashaka kama kweli ana taarifa za kutosha na uelewa wake.

Mwambie agombee urais nje ya ccm kama tutaendelea kumuona tena. Ccm hata wakitaka waweke kopo la mikojo kuwa mgombea bado tutaliona hilo kopo ikulu.
 
1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema Rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa CCM kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia CCM 2025.

Badala ya kukaa kimya Rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.

Vinginevyo, Rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.

View attachment 2983255
rais anamambo mengi ya muhimu ya kufanya hawezi kupoteza muda kujibu vijembe vya mitandaoni
 
Mpaka muda muda huu SI Lucas Mwashambwa Wala chiembe waliojitokeza kujibu lissu amebonda utosini
lissu anapayuka hovyo nani apoteze muda wakujibu ujinga wake watu tuna mambo mengi ya msingi ya kufanya wache apayuke akichoka ataenda kulala
 
Mnaongeaaa,mbona watu kibao kutoka bara wana nyumba zanzibar, mnaaminishwa ,na kila anayesema hili muulize yeye kama yeye aliwahi kutaka akanyimwa?? Jibu hana atakwambia wanasema,sasa wanasema na wewe unadakia kitu usichokuwq na uhakika nacho
Je la mtanganyika kuwa rais zanzibar?
 
Back
Top Bottom