Kabisa, kwanza atatishwaje na jini analo lifuga, hawa akiwanyima ruzuku tu wote kimyaInashangaza Hadi Leo hii watu wazima hama akili ya kusoma saikolojia ya Samia.
Samia hajawahi kurupuka Wala kuendeshwa Kwa mihemko Wala kujibu wajinga.
Mara hii mumesahau dp World,Masai nk? Lisu anadhana anaweza mtoa Samia kwenye reli? Samia sio Mwendazake kwamba atajaa upepe.
Mtaongea wewe mkiishiwa mtakaa kimya mtaona kimyaaa anaendelea na ratiba zake , hajawahi na haitakuja kutokea akatoka kwenye reli.