Kabisa, kwanza atatishwaje na jini analo lifuga, hawa akiwanyima ruzuku tu wote kimyaInashangaza Hadi Leo hii watu wazima hama akili ya kusoma saikolojia ya Samia.
Samia hajawahi kurupuka Wala kuendeshwa Kwa mihemko Wala kujibu wajinga.
Mara hii mumesahau dp World,Masai nk? Lisu anadhana anaweza mtoa Samia kwenye reli? Samia sio Mwendazake kwamba atajaa upepe.
Mtaongea wewe mkiishiwa mtakaa kimya mtaona kimyaaa anaendelea na ratiba zake , hajawahi na haitakuja kutokea akatoka kwenye reli.
Kama una hela yako hata dubai utanunua nyumbaPia na wewe wasema.
Katiba inasemaje kuhusu mbara kumiliki aridhi Zanzibar?
"Mpanga mafaili (mkutubi)" huyu ana level gani?Ameshasoma lengo la chadomo, kutaka waanze kijibishana na rais, hawezi kujishusha Kwenye level yao
Kama una hela yako hata dubai utanunua nyumba
Bado unamuota jini wako jiwe mpk leo? Kama vipi kazikwe naye Chato!Asafishe nini?
Hakuna mtu aloye serious ataacha kuchapa kazi aje kubishana na mental case
Ndio maana magu alikua anawanyoosha mkakosa pa kupumulia
Mh kawapa uhuru, mnautumia vibaya
Busara ingekuwa kuachia ngazi tu. Siyo kukaa kimya halafu mambo yanenda yombi yombi.Kiatu oversize hakimtoshi
Uko sahihi mkuuInawezekana vipi MZANZIBARI
Anaweza kupata ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kujenga Zanzibar
MZANZIBARI anaweza kuwa Rais Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kuongaza Zanzibar Kwa cheo chochote lakini Tanganyika wapo tele
Idadi ya wa Zanzibar waliopo kwenye vyombo Cha ulinzi na usalama ni kubwa kwauwiano wa idadi ya watu Zanzibar na Tanganyika,. Me hayo yote hatuyaoni au tumejizima data.
Wewe acha kubwata, kasome katiba ba sheria za Zanzibar.Mnaongeaaa,mbona watu kibao kutoka bara wana nyumba zanzibar, mnaaminishwa ,na kila anayesema hili muulize yeye kama yeye aliwahi kutaka akanyimwa?? Jibu hana atakwambia wanasema,sasa wanasema na wewe unadakia kitu usichokuwq na uhakika nacho
Asafishe nini?
Hakuna mtu aloye serious ataacha kuchapa kazi aje kubishana na mental case
Ndio maana magu alikua anawanyoosha mkakosa pa kupumulia
Mh kawapa uhuru, mnautumia vibaya
Swali la msingi… hiyo safari ipo? Au tunajiaminisha tuko safarini?Kwa Hizi Akili, Tunayo Safari Ndefu Sana Kufikia “Maendeleo ya Kweli”
Hivi unajua components za usalama wa nchi wewe? Unasema grievances za wananchi hazihatarishi usalama wa nchi? Rudi shuleNdo maana kuna wasaidizi watajibu hizo hoja sababu hazihatarishi usalama wa nchi
Hate crimeBado unamuota jini wako jiwe mpk leo? Kama vipi kazikwe naye Chato!
Huwa kuna muda anakuwa serious huyu mvaa majuba?
upotoshaji hauna maana wala faida yoyote 🐒1. Wafanyakazi wanatema nyongo kuwa rais kakimbia hoja za kikokotoo Mei mosi.
2. Lisu anasema rais mzanzibari anaouza rasilimali za Tanganyika kwa wajomba zake waarabu.
3. Wanaccm wanalalamikia uamuzi wa ccm kutoa fomu moja tu ya mgombea urais kupitia ccm 2025.
Badala ya kukaa kimya rais alipaswa kuongea na waandishi wa habari ili kuzitolea maelezo hoja hizi tatu ili kuleta mtangamano ndani na nje ya chama chake na nchi kwa ujumla.
Vinginevyo, rais anatoa tafsiri kuwa hatoshi, anapwaya na hajui chochote.
Hate is a disease. U need a doctor my friend.Inawezekana vipi MZANZIBARI
Anaweza kupata ardhi Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kujenga Zanzibar
MZANZIBARI anaweza kuwa Rais Tanganyika lakini Mtanganyika hawezi kuongaza Zanzibar Kwa cheo chochote lakini Tanganyika wapo tele
Idadi ya wa Zanzibar waliopo kwenye vyombo Cha ulinzi na usalama ni kubwa kwauwiano wa idadi ya watu Zanzibar na Tanganyika,. Me hayo yote hatuyaoni au tumejizima data.
CrapAtawatuma akina Steve Nyerere kujibu hoja
Samia hajawahi jihangaisha na watu wajinga na walioishiwa hoja.Eti hoja Yao ya kupata madaraka ni kuiviruga Tanzania na kueneza chuki na uzushiKabisa, kwanza atatishwaje na jini analo lifuga, hawa akiwanyima ruzuku tu wote kimya
Tusiandikie mate.Kama una hela yako hata dubai utanunua nyumba.