Anashindwaje kutoka hadharani na kuisafisha hali ya hewa? Amekubali yaishe?

Raisi ana taratibu zake,vuta subira mkuu utapata majibu...
 
It's coz she has nothing to explain, watu kama wewe na Co. mnaishi majukwaani kutetea legacy ambayo kimsingi haipo.

Zaidi sana tutaambiwa tukalitizame na hili. Taifa liko autopilot.
 
Rais na CCM hawafai
 
Hapo kwny nafasi za majeshi usiombe uombe na Mzanzbar hata uwe na vgezo hutoboi mbele yake yani wao wamepewa kipaumbele kuliko
 
It's coz she has nothing to explain, watu kama wewe na Co. mnaishi majukwaani kutetea legacy ambayo kimsingi haipo.

Zaidi sana tutaambiwa tukalitizame na hili. Taifa liko autopilot.
Ligacy ipi ambayo tunatetea na haipo?

Mwisho yes hana endeleeni kusubiria muembe chini ya mnazi πŸ˜†πŸ˜†
 
hakuna ambacho kitabadilika kwa kelele na malalamiko yenu, ukiona wanafanya jambo ni kwa faida zao za kisiasa
Nadhani mjadala uishie hapa kama Wana Jf+Wanyonge wa hii nchi hamtojali.
 
Deep state inawaamini zaidi wazanzibari kwenye ulinzi na usalama kuliko watanganyika.

Kwenye recruiting wanapewa upendeleo wa makusudi, at the same time watanganyika wa wilaya za mipakani wanawekewa vikwazo kwa kigezo cha kuwa wazazi wao si watanzania.
 
Sasa kama anajificha agombee vp!!

HATOGOMBEA!!
 
Ligacy ipi ambayo tunatetea na haipo?

Mwisho yes hana endeleeni kusubiria muembe chini ya mnazi πŸ˜†πŸ˜†
Unatetea vile unajua ameshika mpini, ameshika bunge, mahakama, jeshi nk ndio maana mnajiamini sana, zaidi sana ameshika uelewa mdogo wa watanzania. Miaka zaidi ya 45 ya ccm na hakuna kitu cha msingi mnachoweza kujivunia zaidi ya kutengeneza kundi kubwa la masikini wa kipato na akili.
 
Upuuzi πŸ—‘οΈπŸ—‘οΈ
 
Pengine yupo busy na kutafuta njia ya kurahisisha huduma na maisha ya wananchi wake...
 
Ukiwa Rais siyo kila hoja unatakiwa ujibu utakua ni mtu wa kujibu kila siku mengine unaacha yanapita mambo ya kujibizana unawaachia kina Mdude na chawa wa ccm
 
Sio Kila kinachoropokwa Rais akitolee ufafanuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…