Anatafuta kazi

Anatafuta kazi

Joined
Jul 20, 2024
Posts
46
Reaction score
49
Msichana wa miaka 25 anatafuta kazi yeyote ya halali elimu degree ya ualimu, lakini anafanya kazi yeyote mama lishe, restaurant, usafi yaani yeyote ile ya halali ambayo mwanamke anaweza fanya hata loan officer.Itapendeza kazi ikiwa dodoma , Dar au mkoa wa pwani ila kwengine kokote anafanya. Kwa mwenye kazi naomba aweke namba yake kwenye comment au aweke comment nimfate pm. Kazi za ndani na baa medi hapendelei, asanteni.
 
Kama ana uwezo mzuri sana wa kuzungumza kiingereza, anajua kutumia Ms. Word vizuri na yupo tayari kuishi Dar, nicheki DM.
 
Back
Top Bottom