Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hopefully alizaliwa nanyo auu aliambukizwa saloon au aliolewa akapewa talaka! Na azidi kwa furaha na mafanikio katika hiliMuislam very religious
hata kama alizini haHopefully alizaliwa nanyo auu aliambukizwa saloon au aliolewa akapewa talaka! Na azidi kwa furaha na mafanikio katika hili
Kwenye kuzini umemfikisha wewe, nachojua ni mwaminifu , vinginevyo Dunia yote ni ya wakosefu ,na vipimo vya uaminifu ni ukosefu uliopohata kama alizini ha
kuna mkamilifu
Kwamba hataki HIV negative? Hebu ajiamini Allah( subhana huwataala ) atamfanyia wepesi kuna watu hawana ukimwi lakini wapo tayari kuishi na ambaye ana ukimwi kikubwa afuate dozi kwa usahihi tu.Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive
Sifa zake
Muislam very religious
Umri 23
Mahali alipo mtwara
Vigezo vyake
Awe muislam
Asizidi miaka 40+
Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
😁😁Kweli bora atafuye + mwenzake ili wapige kitu cha nyama kwa nyama
Alishakwenda mkoa alipo wanaojitokeza ni wahuni wa viduku na bangi na wazee watu wazima sana aliponishirikisha nimejaribu kumuunganisha CTC za hapa nilipo nasubir feedback na humu pia nikaona ni vizuri nitumeMshauri njia rahisi aende Kitengo cha CTC Hospital ya wilaya iliyopo jirani yake atapata kwa wepesi na kwa kumuona hapo hapo
sasa una HIV unahangaika kubagua dini ya nn??Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive
Sifa zake
Muislam very religious
Umri 23
Mahali alipo mtwara
Vigezo vyake
Awe muislam
Asizidi miaka 40+
Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
Kweli bora atafuye + mwenzake ili wapige kitu cha nyama kwa nyama
Hata akimpta ambaye ni Neg. Wakielewana, wanapiga iyo nyama nyama 🙂🙂 Na mwenzake anakua Salama tu. Nimeshuhudia hiliKweli bora atafute + mwenzake ili wapige kitu cha nyama kwa nyama