Anatafuta mchumba ni HIV positive miaka 23 mtwara muislam

Anatafuta mchumba ni HIV positive miaka 23 mtwara muislam

Mm angenifaa sema jobles tu. Kuchagua wapenz kwa kigezo ch status ya HIV kitaalam ni kosa kubwa tu.. linaitwa "Stigma"
 
Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive
Sifa zake
Muislam very religious
Umri 23
Mahali alipo mtwara
Vigezo vyake
Awe muislam
Asizidi miaka 40+

Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
TaQo lipo?
 
Kwamba hataki HIV negative? Hebu ajiamini Allah( subhana huwataala ) atamfanyia wepesi kuna watu hawana ukimwi lakini wapo tayari kuishi na ambaye ana ulimwi kikubwa afuate dozi kwa usahihi tu.
Amejiweka wazi ili kuepuka lawama za kwamba mbona hukusema kama wewe ni +ve.
So wewe ukiona ni -ve na unammudu unaweza kuchukua fursa hiyo hatokukatalia.
 
Back
Top Bottom