min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Mambo ya kupeana utamu kwa wasiwasi kama digidigi porini hapana mkuu.Akizingatia dawa tu.. mana inatakiwa kuwe na viral load suppressed! Wadudu wakipigwa vizur na dawa wakawa chini ya 1000 hawez kumuambukiza mwenza