Anatafuta mchumba ni HIV positive miaka 23 mtwara muislam

Anatafuta mchumba ni HIV positive miaka 23 mtwara muislam

anicheki ni mconect na watu wa CTC pale kuna wadau wanaacha namba zao, wakitafuta wenzao. kwa mtwara nenda pale ligula au kama unaogopa nenda masasi. Ukishindwa nitaku-PM mtu unayeweza kwenda kuonana nae pale moja kwa moja hospital ya lIGULA AU NANGURUWE
 
Nilikua nasubiri sana comment hii.

Hawa watu Elimu hawana zaidi ya kuwaza ma_udini muda wote.

Acha aendelee kumtafuta mwenzake
Kuwa +ve hakuondoi haki yake ya msingi ya kuchagua kile nafsi yake inachotaka.
Tusimnyanyapae..!

Kila la kheri kwake.
 
Hello habari zenu kuna dada anatafuta mchumba HIV positive
Sifa zake
Muislam very religious
Umri 23
Mahali alipo mtwara
Vigezo vyake
Awe muislam
Asizidi miaka 40+

Kama utakua interested unaweza kunifata PM nikakupa mawasiliano nae
Mimi apa nipo , ila ni mkristu
 
ukimwi sio shida, anazo pesa..? Sio anatafuta kuwapa vijana matatzo wakat pesa hana
 
Back
Top Bottom