ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

ANATAFUTWA: Michael Juma anatafutwa na mwanae. Alikuwa askari magereza, mkazi wa Masasi na Mtwara mjini

Kama mada inavyojieleza hapo juu ,wiki hii niliweka tena thread kuhusu husaidizi wa kumpata huyu ndugu,lakini alitokea member akanipigia kuwa atakuwa anamfahamu: ilivyokuwa,siku ya kwanza niliongea naye na kunihaidi kuwa kuna mdogo wake ambaye(m) anasoma bording mbozi mjini,na angeenda siku ya sikukuu ya idd ili amwone mzee akanipa namba tukawasiliana ,naye akahaidi kunipa ushirikiano,akanambia mzee alikuwa ni rafiki wa baba yake mzazi na hivyo anapajua anapoishi katika kijiji cha isansa wilaya ya mbozi.

Basi m alinambia kutoka hapo alipo hadi hapo isansa ni km 16,na inagarimu kiasi cha 15elfu nikaone hisiwe shida nikamtumia 25elfu,kwa maelezo yake akaenda hadi kwa mzee na hakumkuta alikuwa hospitali ya mbozi misheni,bahati nzuri kuna watu nimesoma nao chuo wako huko na ndugu zao wanafanya hapo kazi ,nikawambia waende waulizie hapo,wakamtafuta hawakumkuta,nikaona nimtarifu huyu member na mdogo wake ili nende nao kidogo kidogo ili wajue sijui chochote,badae wakabadili maelezo kuwa yuko kijiji cha mpito bahati nzuri university mates wangu wakatoa ushirikiano hadi tukapata namba za wenyekiti wa vitongoji wa hapo nao wakatoa ushirikiano na kuambiwa huyo mtu hayupo hapo kijijini.

Jana huyu member akanambia amepata taarifa huyo mzee yupo kijiji cha wasa anatibiwa huko ,bahati nzuri tena university mates wangu wakatoa ushirikiano hadi tukapata mawasiliano ya diwani wa kata hatimaye wenyeviti wa vitongoji wakasema huyo mtu hayupo hapo na wakasema wenda akawa anatibiwa kwa waganga pia wakafika kwani member alikuwa ametoa jina la mtu anayemtibu,hawakumkuta.

Leo mchana huyu member akapiga kunitarifu yuko mbozi kaondoka dar na gari ya magazeti na pasipokujua nimeshafanya critical analysis juu yao akanambia anaitaji elfu 10 aweke mafuta kwenye boda aende hapo kijijini,nilimjibu kwa mkato kuwa siwezi,haachane na hiyo kazi yake. Analysis yangu ikawa imekamilika kuwa hawa jamaa walikuwa si watu wema.

Nawashukru sana mates wangu wote walonipa ushirikiano na wote wenye mapenzi mema hasa hawa waheshimiwa wenyeviti wa vitongoji na diwani pia manesi walonipa ushirikiano wa karibu kabisa.Mungu awabariki sana.
Pole sana mkuu,sikuhizi wapigaji wamejaa sana jf yetu.
 
Mimi jana kuna fala kanipigia anadai anatoka vodacom kuna gawio langu laki mbili na sabini ila nimwambie nimwambie akinitumia hiyo hela nitakua na kiasi gani, nikamjibu hiyo hela mtumie mama yako akasema mseng* unajifanya mjanja akakata simu, nikimpigia inakata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mototo wa kwanza wa mzee Michael Juma, alizaliwa miaka ya 1980s katika wilaya ya Musoma mjini.

Baba yake alikuwa Askari Magereza miaka hiyo na inasadikika badaye mzee Michael aliacha kazi na kurudi kwao Mtwara.

Mama wa huyu Anna alikuwa ni Mnyiramba wa Sindiga na alijulikana kama mama Anna na nimeamua kumtafuta Anna (Kama yupo hai anaweza kuwa JF) ili afanikishe kumpata mzee Michael Juma kama kweli yupo na hata kujua familia yake kwani anatafutwa na mwanaye

Asanteni.
 
Mtwara Mila zao watoto ni Mali ya mama na wajomba zake sio wa baba kama makabila mengine huyo Mzee mwacheni tu.Wengi waliozaa na wanaume wa mtwara hutelekezewa watoto ni Mila zao
 
Ni mototo wa kwanza wa mzee Michael Juma, alizaliwa miaka ya 1980s katika wilaya ya Musoma mjini.

Baba yake alikuwa Askari Magereza miaka hiyo na inasadikika badaye mzee Michael aliacha kazi na kurudi kwao Mtwara.

Mama wa huyu Anna alikuwa ni Mnyiramba wa Sindiga na alijulikana kama mama Anna na nimeamua kumtafuta Anna (Kama yupo hai anaweza kuwa JF) ili afanikishe kumpata mzee Michael Juma kama kweli yupo na hata kujua familia yake kwani anatafutwa na mwanaye

Asanteni.
Yule jamaa aliekutapeli kipindi kile mlimalizaje, au cyo wewe ulieleta uzi wa namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulizia details zaidi kama vile kijiji alichotoka maana haiwezekani mama asijuwe kijiji cha mumewe pia jina la kibantu la baba pia litasaidia mf Michael Juma Ntoto kwahiyo watasakwa walipo akina Ntoto. utachokipata utantag
 
Asante sana ndugu,tunafatilia kila kitu,siku wakipatikana nitakupa mrejesho,kumbuka tulishafika hadi alipokuwa anafanya kazi kipindi hicho cha miaka ya 80,lakini details zake mpaka sasa hatujapata,lakini tunafanya kila namna ili kumfikia.Kumbuka huyu mama ambae mtoto wake anamtafuta huyu mzee alizaa nae tu hawakuoona na kipindi hicho mzee Juma alikuwa na huyo mama ANA kama mke wake pindi anafanya kazi magereza ya MUSOMA.
 
Mimi ndio maana nikizaa na mwanamke ambayo nitakuwa na uhakika kama mtoto ni wangu nitamchukuwa kwa gharama zozote iwe kwa heri ama kwa shari

Sent by Diaspora
 
Asante sana ndugu,tunafatilia kila kitu,siku wakipatikana nitakupa mrejesho,kumbuka tulishafika hadi alipokuwa anafanya kazi kipindi hicho cha miaka ya 80,lakini details zake mpaka sasa hatujapata,lakini tunafanya kila namna ili kumfikia.Kumbuka huyu mama ambae mtoto wake anamtafuta huyu mzee alizaa nae tu hawakuoona na kipindi hicho mzee Juma alikuwa na huyo mama ANA kama mke wake pindi anafanya kazi magereza ya MUSOMA.
ina maana mtoto ANA alichukuliwa na babake
 
ina maana mtoto ANA alichukuliwa na babake
Kwa taarifa iliyopo baada ya mzee Juma kuacha kazi aliondoka na familia yake kuelekea Mtwara,yaani Ana na mama yake pia waliondoka,kumbuka Mama ana kwao ilikuwa Singida(mnyiramba) baada ya hapo haijulikani kama waliendelea kukaa pamoja au la
 
bado mkuu hujasomeka hebu nijibu yafuatayo:
1/anaetafutwa ni Anna, Afande Michel au mama Anna
2/anaetafuta ni nani
3/kama afande alirudi Mtwara na family yote akiwemo Anna na mamake je huyo mtafutaji ni nani na kwanini amtafute mtoto badala ya wakubwa
rahisisha hapo tukuelewe
 
1.Afande Michael(rejea mada kuu) 2.Mwanae alipata kuzaa na mama mwingine huku musoma miaka ya 80 kipindi anafanya kazi(rejea mada tajwa,anamtafuta kwa wema si vinginevyo,nimekuwa mara kwa mara nikiweka mada hii hapa) 3.rejea 2
 
POA GET U mkuu
 
bado mkuu hujasomeka hebu nijibu yafuatayo:
1/anaetafutwa ni Anna, Afande Michel au mama Anna
2/anaetafuta ni nani
3/kama afande alirudi Mtwara na family yote akiwemo Anna na mamake je huyo mtafutaji ni nani na kwanini amtafute mtoto badala ya wakubwa
rahisisha hapo tukuelewe

Hata mm hapo sijaelewa anayetafutwa ni nan
 
Sasa mtu amestaafu miaka ya 80 sidhani kama yupo hai lakini kila la kheri
 
Back
Top Bottom