Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
- Thread starter
- #101
Nimeeleza hivyo kuwaonesha uhalisia wa eneo alilozaliwa,wala hakuna ubaya wowote.Kwani kuna wanyiramba wa wapi bro
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeeleza hivyo kuwaonesha uhalisia wa eneo alilozaliwa,wala hakuna ubaya wowote.Kwani kuna wanyiramba wa wapi bro
Pole Sana ndugu jitahidi usikate tamaa utampata ndugu yako dam nzito kuliko maji!Nimeeleza hivyo kuwaonesha uhalisia wa eneo alilozaliwa,wala hakuna ubaya wowote.
mtwara nilikuwa huko mwaka 2013-nilikuwa naishi mtaa wa railway ,bahati mbaya taarifa sahihi juu ya hili sikuwa nazo hadi huyu ndugu yangu aliponijuza mwaka 2018.Tunapanga kwenda alipokuwa anafanyia kazi pia tupate usaidizi zaidi licha ya kuwa tulikuwa tumeshaenda kipindi cha nyuma na pia tutaelekea masasi tukishapata taarifa sahihi.Asante sana ndugu,Mungu akubariki sana.Pole Sana ndugu jitahidi usikate tamaa utampata ndugu yako dam nzito kuliko maji!
Fanya marifa utembele na mtwara !
Mkuu wengine ni kuwapotezea tu, JF ni kama kokoro..!You are right to speak any word you desire, but you are 100% astrayed.
picha tafadhaliAlizaliwa musoma miaka ya 1979-1980.Baba yake anaitwa Juma Michael.Mzee Juma alikuwa askari magereza-Musoma miaka ya 1980 na mkazi wa mtwara.Mama yake Anna alikuwa ni mnyiramba wa singida.Kama kuna mtu anamjua au yeye mwenyewe yupo naomba tuwasiliane anaweza kusaidia kupatikana kwa taarifa za mzazi wake mzee Juma,ambaye anatafutwa na kijana wake.
Asante ,ukisoma kwa makini utona kuwa Anna na baba yake waliondoka musoma kipindi cha miaka ya 80s hivyo picha zao hatuna,pia tunatumia maelezo kutafuta namna ya kuwapata kwani wenda kupitia simulizi hii kuna mtu anaweza kuwa anawajuapicha tafadhali
Mkuu toa jibu linaloeleweka!! Anaetafutwa ni nani!? Anna, baba, au mama! Kwani uzi wako haueleweki!!Sorry ,rejea kweye mada kuu
That's just like a joke,don't take too serious!You are right to speak any word you desire, but you are 100% astrayed.
nilishafanya yote na kufika hapo alipokuwa anafanya kazi,lakini sikuwezapata msaada wa kutosha,inaonekana hapo awali mfumo wa kutunza kumbukumbu ulikuwa na shida. NITAENDA MAKAO MAKUU -DARAnzia makao makuu ya magereza wanaweza kuwa na details zake na kama ni mstaafu fuatilia kwenye hii mifuko ya kijamii, Vilevile unaweza kuanzia uchunguzi wako hapo magereza Musoma.
Uchokozi huo...Nasikia kuna dua ukiombewa chochote unachokitafuta utakipata.
Mimi siyo afande mkuu,cha msingi tusaidie kama una ufahamu wowote juu ya mzee wetu,kama ambavyo umesoma maelezo hapo juuAsante Afande
KWA NINI ANATAFUTWA? Kiufupi kijana wake ambaye alimzaa na mama wa musoma vijijini(ANGALIA HAPO JUU) ndo anamtafuta kwani hamjui na pia anaitaji kumuona baba yake ili kama yuko hai hamsaidie.Kwa mjibu wa huyu mama wa ndugu yangu(anayemtafuta mzee juma/baba yake),mzee alikuwa anatamka mara kwa mara kuwa wazazi wake walihamia mtwara kutokea wilaya ya masasi.
Mkuu mtoto anaitaji kumsadia mzee wake kama atapatikanaMkuu nadhani hapo kwenye msaada ndio kwenye maana na kutapelekea mtu kupatikana au la..., huo msaada ni mtoto ndio anataka amsaidie mzee wake kama yupo hai.., au mtoto anahitaji msaada kutoka kwa huyu mzee kama yupo hai ?
Unajua haya mambo huenda huko ana familia nyingine wakiona hivi wanaweza wakaogopa kugawana kilichopo...