Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Jomba hii kitu naona ni neshino mwenyewe nini anataka kuaga ukapera kiaiana unajua sijaamini...
Ila Sasa kigezo ni yoyote anayepumua ndo uwiii ilipo hapo
National Anthem hajawahi kuwa fala ana kamuendelezo ka vyuzi vyake flani strange najua ANA jambo lake.

Wacuba tutaenda kimya kimya tutaijua destination yake soon😂😂
 
Hahaa .nna raha ghafla..nakuja na beg lenye nguo...nitangulize zingine ....awe ananinunulia tu walau wine najisokotea ndani mie🤣🙌
😅😅😅😅... jamaa sio wa kiutani utani yupo serious, namuonesha hapa comment alivyosoma na jina akasema hapa ndio penyewe wife si ndio huyu sasaaa... jamaa ameishakuelewa na yeye.. anasubiri tu respond yako
 
Bila shaka ww na mwenzio ni madomo zege, unatafutaje mke mtandaoni wakati mtaani madem kibao? Mnapenda vya rahisi rahisi tu ngoja mpate changudoa [emoji23][emoji23]
 
😅😅😅😅... jamaa sio wa kiutani utani yupo serious, namuonesha hapa comment alivyosoma na jina akasema hapa ndio penyewe wife si ndio huyu sasaaa... jamaa ameishakuelewa na yeye.. anasubiri tu respond yako
Serious mwambie amepata...ikiwezekana wknd aje kwanza kwangu...maana kodi nayo inakaribia kukata....aje tu....siendi tena uturuki aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…