Anatafutwa mpenzi baadaye aje kuwa mke

Sijui kanifukizia Bae, navyompenda sitaki mwingine. Nimefika miye yaani moyo wangu nimeubwagwa kwake πŸ˜‹
😊😊😊 shangaziii jamani.. weye acha moyo wako ubaki kwake.. mie nitakuwa mfariji tu usijaliee yani sichukui nafasi yake
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza udalali
 
toto jeupeee lina mtakooo huoo.. upajaa guu hilo.. nikiliangalia nadindaa.. nasemaga pingekuwa kama yale kamata nichinje ningelifaidi sana kwa ma fantasy.. ila sasa mke hata kumtia dole la pale huwezi 🀣🀣🀣🀣
Hongera kuoa mke anaekufurahisha hat Kwa kumtazama ilahuku mwisho nimechekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…