Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

Afanye kilimo huku akiendelea na kazi ya ualimu.
Kilimo ni ku take risky.
Unaweza ukalima mvua zikagoma kunyesha vizuri ukakosa.
 
Kama mm ningekua yeye kwanza hiyo mil 180 ningeitupia Utt mfuko wa liquid then nikaenda bank nikachukua mkopo wa hiyo hela ambapo wangenipa 80% ya mil 180 ambayo ni kama mil 140 nikaacha utt na bank walipane marejesho huku nikijua wakimaliza pesa yangu mil 180 ipo palepale.sasa basi huo mkopo wa mil 140 ningehakikisha nahakikisha nawekeza ktk maji kupatikana shamban sabab nikiwa na trekta + maji nakua sina hofu tena so kama kisima ningechimba au kuvuna maji ningevuna.then nikalima ekari 100 na ekar 100 zingine ningekodisha pesa ya kukodisha ndo ingesaidia kuhudumia shamba ninalolima
So sabab nina maji ningekua nalima mara2 kwa mwaka mazao tofauti tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili kubwa hii
 
Huo mshahara wake hata housegirl aliyefeli darasa la nne akaenda Oman hamfikii na degree yake ya ualimu.
Maisha hayana formula aache kusita sita mwambie akamate jembe hasa,japo huko napo Sio rahisi kihivyo akipigwa changamoto asikumbukie mshahara wa mwezi wa ualimu
 
Back
Top Bottom